Zijue hatua za uwekaji wiring ya umeme katika jengo lako kadri ujenzi unavyoendelea

Joined
Jun 25, 2022
Posts
28
Reaction score
27
-Mpaka Mfumo wa Umeme Kukamilika kwenye Jengo lako hupitia Hatua 3 kuu zifuatazo
1.KABLA YA PLASTA.Huusisha Uwekaji njia za upitishaji waya za umeme,+Data,intercom,motor gate na cctv camera.( +ni option ya mteja) huanza kwa Kuchana ukuta ,Kuweka metal box za switches ,round box taa za ukutani ,waterproof box ,D.B, conduit pipe nk.

2.BAADA YA BLANDARIN NA KABLA YA KUWEKA GYPSUM BOARD.
-Hatua hii huusisha kutandaza bomba darini kulingana na circuits, Kupitisha waya na kufanya connection.
baada ya apo ikiwa mteja ana uharaka wa kuvuta umeme tutamjazia fomu na mchoro kwa njia ya mtandao Nikonnekt,baada ya muda mfupi atapata huduma ya umeme.

3.BAADA YA SKIMMING AU RANGI NA BAADA YA UWEKAJI WA GYPSUM BOARD.
-Hatua hii ni kufunga vitu kama Taa,Switches,fan nk.
STAGE 1.
Karibu kwa tukuhudumie kwa upande wa wiring za umeme ,Tuna Leseni na Tupo kwenye mfumo wa Nikonnekt Tanesco.
Wasiliana nasi kwa
0734840433call/whatsaap
ronicelectrical@gmail.com
Tupo dar es salaam.pia mikoa mingine tunawafikia kwa gharama nafuu.

IMG_20230406_140430_103.jpg

IMG_20230406_183059_443.jpg

STAGE 2
IMG_20220312_161903_447.jpg

IMG_20220312_145115_121.jpg

STAGE3
IMG_20230515_182805_083.jpg
 
Attachments

  • IMG_20230406_183059_443.jpg
    IMG_20230406_183059_443.jpg
    846.1 KB · Views: 93
  • IMG_20220312_145123_269.jpg
    IMG_20220312_145123_269.jpg
    1.1 MB · Views: 80
  • IMG_20211222_181621_493.jpg
    IMG_20211222_181621_493.jpg
    511 KB · Views: 93
-Mpaka Mfumo wa Umeme Kukamilika kwenye Jengo lako hupitia Hatua 3 kuu zifuatazo
1.KABLA YA PLASTA.Huusisha Uwekaji njia za upitishaji waya za umeme,+Data,intercom,motor gate na cctv camera.( +ni option ya mteja) huanza kwa Kuchana ukuta ,Kuweka metal box za switches ,round box taa za ukutani ,waterproof box ,D.B, conduit pipe nk.

2.BAADA YA BLANDARIN NA KABLA YA KUWEKA GYPSUM BOARD.
-Hatua hii huusisha kutandaza bomba darini kulingana na circuits, Kupitisha waya na kufanya connection.
baada ya apo ikiwa mteja ana uharaka wa kuvuta umeme tutamjazia fomu na mchoro kwa njia ya mtandao Nikonnekt,baada ya muda mfupi atapata huduma ya umeme.

3.BAADA YA SKIMMING AU RANGI NA BAADA YA UWEKAJI WA GYPSUM BOARD.
-Hatua hii ni kufunga vitu kama Taa,Switches,fan nk.
STAGE 1.
Karibu kwa tukuhudumie kwa upande wa wiring za umeme ,Tuna Leseni na Tupo kwenye mfumo wa Nikonnekt Tanesco.
Wasiliana nasi kwa
0734840433call/whatsaap
ronicelectrical@gmail.com
Tupo dar es salaam.pia mikoa mingine tunawafikia kwa gharama nafuu.

View attachment 2634100
View attachment 2634151

STAGE 2
View attachment 2634134
View attachment 2634157

STAGE3
View attachment 2634167
Hello Mkuu,
Nilipata kusikia kua kuna mafundi hua wanatoa mahitaji ya vifaa vingi lakini sio vyote vinavyotumika hivyo vingine huvificha na kuondoka navyo.

Hili swala mteja anaweza akaliepuka vipi na kuhakikisha alivyonunua ndio vilivyotumika na kama kuna venye vimebaki anakabidhiwa???

Manake bunda moja la waya ni 50,000/- mpaka 70,000/- average, na linaweza tu kuingia kwenye ki begi. Ukipigwa hizi 4 labda ni parefu kimtindo.
 
Ni changamoto kwa kweli kwa sisi mafundi maana unakuta mafundi wengine wanakuwa sio wastarabu kabisa.sehemu ya bando 6 yeye anakwambia ununue bando 9 ili 3 aweke mfukoni.
 
Sasa mteja afanyaje labda awe na Imani? Binafsi nilihamia Nyumba ikiwa Haina umeme hivyo wakati wanaweka wiring nilikuwepo nikawa namfungulia store nampa bunda moja moja. Sasa sio kila mtu atakua kwenye situation kama yangu.
 
Hello Mkuu,
Nilipata kusikia kua kuna mafundi hua wanatoa mahitaji ya vifaa vingi lakini sio vyote vinavyotumika hivyo vingine huvificha na kuondoka navyo.

Hili swala mteja anaweza akaliepuka vipi na kuhakikisha alivyonunua ndio vilivyotumika na kama kuna venye vimebaki anakabidhiwa???

Manake bunda moja la waya ni 50,000/- mpaka 70,000/- average, na linaweza tu kuingia kwenye ki begi. Ukipigwa hizi 4 labda ni parefu kimtindo.
Mkuu Hapo ni mtihani kumdhibiti fundi mwenye tabia ya udokozi,ata umlinde vipi akiamua kuchukua atachukua tu.,ikiwa unapata wasiwasi na fundi wako basi jaribu kuwa site wakati wa ufanyaji wiring. Ahsante.
 
Hongera kwa kazi nzuri. KWa nini DB ya tronic hiyo haina mcb ya 40A na 63A.Nilipata tabu kuamua wakati wa kununua. Mf cooker, ac, na socket ya kazi maalum kwa hyo 32A inatosha?
 
Sasa mteja afanyaje labda awe na Imani? Binafsi nilihamia Nyumba ikiwa Haina umeme hivyo wakati wanaweka wiring nilikuwepo nikawa namfungulia store nampa bunda moja moja. Sasa sio kila mtu atakua kwenye situation kama yangu.
Mkuu ulitumia kiasi gani kuweka wiring? Na nyumba yako Ina vyumba vingapi?
 
Hatua ya kwanza vifaa 400k, ufundi 250k

Hatua ya pili vifaa 1.7m ufundi 300k

Hatua ya tatu hakufanya fundi mmoja na haikua Kwa pamoja, ilikua ni kidogo kidogo na Tanesco ukiweka jumla yaweza kua labda 800k au izidi kidogo.

Nyumba ni vyumba vinne.
 
Asante mkuu

Nieleweshe kwenye hizo hata mkuu
 
Sasa mteja afanyaje labda awe na Imani? Binafsi nilihamia Nyumba ikiwa Haina umeme hivyo wakati wanaweka wiring nilikuwepo nikawa namfungulia store nampa bunda moja moja. Sasa sio kila mtu atakua kwenye situation kama yangu.
Ni kweli sio wote watakuwa wameamia
 
Hatua ndo zile ameandika mleta mada pale juu dada yangu. Ila tu tofauti yeye kuunga Tanesco kaweka hatua ya pili wakati mi nilifanyia kwenye hatua ya tatu.
Sawa mkuu asante sana
 
MCHANGANUO WA VIFAA VYA UMEME(SEHEMU YA 1)

(1) nyumba yenye vyumba vitatu vya kulala, siting room, dining room, choo na jiko

VIFAA AWAMU YA KWANZA

* Main switch 6 way (tronic)-tsh 79, 000/=
*squal box double 9×2000-tsh 18, 000/=
*squal box single 12×1500-tsh 18000/=
*conduit pipe(bomba)-30×1500-tsh 45000/=
*round box -12×500 -tsh 6000/=

Jumla Tsh166, 000/=

AWAMU YA PILI

*1.5mm wire(single master cable) 4roll×45000-tsh 180, 000/=
*2.5mm wire(single-mastet cable)-3 roll×79000-tsh 237, 000/=
*switch socket double (tronic)-8×8000-tsh 64, 000/=
*earth load copper -tsh 50, 000/=
*Circuit breaker(tronic)-tsh 45000/=
*6mm wire-8×6000-tsh 48000/=
*4 gang 1 way switch -1-tsh7000/=
*2 gang 1 way switch -4×4000-tsh 16000/=
*1 gang 1 way switch -4×3000-tsh 12000/=
*Holder -11 ×2500 -tsh 27500/=
*earth wire -2.5mm wire-15×1000-tsh 15000/=
*conduit pipe-40×1500-tsh 60, 000/=
*round box - 20×500-tsh 10, 000/=
*clips 22mm - 1 box -tsh 7000/=

Tsh 778, 500/=
Tsh 166, 000/=

Jumla Tsh 944, 500/=

Hii ni wiring ya hali ya chini kabisa(nyumbani taa moja moja na switch za kuchajia simu moja moja.taa za nnje ni nne(moja kila upande)
 
( MCHANGANUO WA VIFAA VYA UMEME(SEHEMU 2)

(1) Nyumba yenye vyumba 3 au 4 vya kulala, siting room, dining room, public toilet na jiko.

VIFAA AWAMU YA KWANZA

*Main switch 8 way(tronic) - tsh 95, 000/=
*conduit pipe(bomba)-50×1500-tsh 75, 000/=
*squal box double(tronic)-18×2000-tsh 36, 000/=
*squal box single (tronic)-20×1500-tsh 30, 000/=
*Waterploof box(100×100)-2×6000-tsh 12000/=
*bomba la inch 2 la maji(nusu)+ elbow zake 2-tsh 14, 000/=
*Round box-32×500-tsh 16000/=

Jumla Tsh 278, 000/=

AWAMU YA PILI

*1.5 mm wire (single) 7 roll × 45000-tsh 315, 000/=
*2.5 mm wire(single) 6roll ×79000-tsh 474, 000/=
*circuit breaker(tronic)- tsh 45, 000/=
*Earth load copper- tsh 50, 000/=
*Earth wire -4mm-mita 15×2000-tsh 30, 000/=
*conduit pipe- 60×1500-tsh 90, 000/=
*clips 22mm-2 box- tsh 14, 000/=
*4mm wire -mita 12×5000-tsh 60, 000/=
*Round box-40×500-tsh 20, 000/=
*10 mm wire mita 12×10000-tsh 120, 000/=
*switch socket double(tronic)-17×8000-tsh136, 000/=
*4 gang switch -1-tsh 7000/=
* 3gang switch-4×6000-tsh 24, 000/=
*2gang switch -4×4000-tsh 16, 000/=
*1 gang switch -4×3000-tsh 12, 000/=
*Round cover- 40×500-tsh 20, 000/=
*holder-32×2500-tsh
*cooker switch-tsh 25000/=
*DP switch( 20 Ampere)-2×7000-tsh 14, 000/=
Tsh 1, 552, 000/=
Tsh 278, 000 /=

Jumla Tsh 1, 830, 000/=

Zingatia: gharama ya vifaa inaweka ikaongezeka endapo utamua kufunga taa za urembo au switch za urembo.
Hii ni wiring ya kisasa
*switch za kuchaji simu au tv-kila chumba zipo 2, master zipo 3, siting room zipo 5,jikoni zipo 2 pamoja na cooker switch 1, na dining zipo 2.water heater-2

*taa za nnje jumla zipo 13
 
MCHANGANUO WA VIFAA VYA UMEME
KWENYE CHUMBA

(1) nyumba yenye vyumba vitatu vya kulala, siting room, dining room, choo na jiko

VIFAA AWAMU YA KWANZA

* Main switch 6 way (tronic)-tsh 79, 000/=
*squal box double 9×2000-tsh 18, 000/=
*squal box single 12×1500-tsh 18000/=
*conduit pipe(bomba)-30×1500-tsh 45000/=
*round box -12×500 -tsh 6000/=

Jumla Tsh166, 000/=

AWAMU YA PILI

*1.5mm wire(single master cable) 4roll×45000-tsh 180, 000/=
*2.5mm wire(single-mastet cable)-3 roll×79000-tsh 237, 000/=
*switch socket double (tronic)-8×8000-tsh 64, 000/=
*earth load copper -tsh 50, 000/=
*Circuit breaker(tronic)-tsh 45000/=
*6mm wire-8×6000-tsh 48000/=
*4 gang 1 way switch -1-tsh7000/=
*2 gang 1 way switch -4×4000-tsh 16000/=
*1 gang 1 way switch -4×3000-tsh 12000/=
*Holder -11 ×2500 -tsh 27500/=
*earth wire -2.5mm wire-15×1000-tsh 15000/=
*conduit pipe-40×1500-tsh 60, 000/=
*round box - 20×500-tsh 10, 000/=
*clips 22mm - 1 box -tsh 7000/=

Tsh 778, 500/=
Tsh 166, 000/=

Jumla Tsh 944, 500/=

Hii ni wiring ya hali ya chini kabisa(nyumbani taa moja moja na switch za kuchajia simu moja moja.taa za nnje ni nne(moja kila upande)
Mkuu shukrani Sana,huu Uzi nauhifadhi maana makadirio ya hapa yako sahihi kabisa na kageto kangu. Sichezi mbali na huu mchanganuo.
Hii ndiyo raha ya JF.
 
( MCHANGANUO WA VIFAA VYA UMEME(SEHEMU 2)

(1) Nyumba yenye vyumba 3 au 4 vya kulala, siting room, dining room, public toilet na jiko.

VIFAA AWAMU YA KWANZA

*Main switch 8 way(tronic) - tsh 95, 000/=
*conduit pipe(bomba)-50×1500-tsh 75, 000/=
*squal box double(tronic)-18×2000-tsh 36, 000/=
*squal box single (tronic)-20×1500-tsh 30, 000/=
*Waterploof box(100×100)-2×6000-tsh 12000/=
*bomba la inch 2 la maji(nusu)+ elbow zake 2-tsh 14, 000/=
*Round box-32×500-tsh 16000/=

Jumla Tsh 278, 000/=

AWAMU YA PILI

*1.5 mm wire (single) 7 roll × 45000-tsh 315, 000/=
*2.5 mm wire(single) 6roll ×79000-tsh 474, 000/=
*circuit breaker(tronic)- tsh 45, 000/=
*Earth load copper- tsh 50, 000/=
*Earth wire -4mm-mita 15×2000-tsh 30, 000/=
*conduit pipe- 60×1500-tsh 90, 000/=
*clips 22mm-2 box- tsh 14, 000/=
*4mm wire -mita 12×5000-tsh 60, 000/=
*Round box-40×500-tsh 20, 000/=
*switch socket double(tronic)-17×8000-tsh136, 000/=
*4 gang switch -1-tsh 7000/=
* 3gang switch-4×6000-tsh 24, 000/=
*2gang switch -4×4000-tsh 16, 000/=
*1 gang switch -4×3000-tsh 12, 000/=
*Round cover- 40×500-tsh 20, 000/=
*holder-32×2500-tsh
*cooker switch-tsh 25000/=
*DP switch( 20 Ampere)-2×7000-tsh 14, 000/=
Tsh 1, 432, 000/=
Tsh 278, 000 /=

Jumla Tsh 1, 710, 000/=

Zingatia: gharama ya vifaa inaweka ikaongezeka endapo utamua kufunga taa za urembo au switch za urembo.
Hii ni wiring ya kisasa
*switch za kuchaji simu au tv-kila chumba zipo 2, master zipo 3, siting room zipo 5,jikoni zipo 2 pamoja na cooker switch 1, na dining zipo 2.water heater-2

*taa za nnje jumla zipo 13
Asante kwa mchanganuo mzuri kiongozi. Hv nikihitaji ac mbili,heater 2, cooker na pump ya maji vipi DB a njia nane itafaa bado?. Pia kama hutajali ningeomba mwangaza kwenye diameter za nyaya zinatumika kwenye vifaa vipi
 
Back
Top Bottom