mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,258
- 22,552
Sawa ngoja nilete ya wiring (sehemu ya 3) ambayo ndo wiring ya mwisho iyoAsante kwa mchanganuo mzuri kiongozi. Hv nikihitaji ac mbili,heater 2, cooker na pump ya maji vipi DB a njia nane itafaa bado?. Pia kama hutajali ningeomba mwangaza kwenye diameter za nyaya zinatumika kwenye vifaa vipi
Makadirio ya ile sehemu ya pili yanalingana na kwangu aisee, ilienda hivyo hivyo.MCHANGANUO WA VIFAA VYA UMEME(SEHEMU YA 3)
Nyumba yenye vyumba vitatu au vi nne vya kulala(vyumba vitatu vya kulala, master, siting room, dining room, kitchen, bathroom,stores etc.
(1)VIFAA AWAMU YA KWANZA
*Main switch 12 way(tronic)-tsh 130, 000/=
*conduit pipe za robo tatu- 60×1500-tsh 90, 000/=
*conduit pipe za inch 1-10×3500-tsh 35, 000/=
* Bomba la inch 2+ elbow 4- tsh 16, 000/=
*waterploof box(100×100)-2×6000-tsh 12000/=
*round box-40×500-tsh 20, 000/=
*squal box double(tronic)-23×2000-tsh 46, 000/=
*squal box single-30×1500-tsh 45, 000/=
*change over switch (63 ampere+tronic)- tsh 160, 000/=
JUMLA TSH 554, 000/=
(2)VIFAA AWAMU YA 2
*2.5 mm wire(single-master cable)-9roll ×79000-tsh 711, 000/=
*1.5mm wire(single-master cable)-10 roll ×45000-tsh 450, 000/=
*16 mm wire mita 12×14000-tsh 168, 000/=
*4mm wire mita 12×5000- tsh 60, 000/=
*coxial cable -1 roll(tronic)-tsh 60, 000/=
*circuit breaker tronic- tsh 45, 000/=
*Earth load pure copper-tsh 50, 000/=
*Earth wire 4mm-mita 15×2000-tsh 30, 000/=
*conduit pipe za robo tatu-60× 15000-tsh 90, 000/=
*conduit pipe za inch 1-15×3500-tsh 52, 500/=
*cooker switch- tsh 25, 000/=
*DP switch 45A-3× 12000-tsh 36, 000/=
*DP switch 20A- 6×7000- tsh 42, 000/=
*switch socket double-22× 8000-tsh 176, 000/=
*switch socket single -2×5000-tsh 10, 000/=
*TV socket doube 3× 10000-tsh 30, 000/=
*round box-40×500- tsh 25, 000/=
*round cover-40×500- tsh 20, 000/=
*4 gang switch -6×7000-tsh 42000/=
*3 gang switch 4-×5000-tsh 20, 000/=
*2 gang switch 3×4000- tsh 12, 000/=
*1 gang switch 5×3000-tsh 15000/=
* light timer(20 Ampere-tronic)-tsh 75, 000/=
Jumla Tsh 2, 244, 500/=
Tsh 554, 000/=
Jumla Tsh 2, 798, 500/=
*Hii ni wiring ya kisasa kabisa.
*swich za kuchajia kila vyumba zaid ya moja, mfumo wa water heater, mfumo wa AC, mfumo wa ving'amuzi, taa za nnje zaidi ya 15, mfumo wa two way switch, taa za nnje zikifika muda zinajiwasha zenyewe na kujizima zenyewe.sehemu ya washing mashine.switch za kuchajia za nnje ambazo utakuwa unaruhusu umeme kwa ndani endapo utaitaji kuzitumia.change over switch endapo utaitaji kutumia kushare wiring moja kutumia kwenye umeme wa tanesco na solar au generator.
Zingatia: bei itapanda endapo utanunua taa za urembo na switch za urembo.
Imekaa njema sana. Hii itaendana na mahitaji yangu kabisa.Soon naingia hatua ya piliMCHANGANUO WA VIFAA VYA UMEME(SEHEMU YA 3)

*(Awamu ya kwanza)-Kuchimbia bombaMakadirio ya ile sehemu ya pili yanalingana na kwangu aisee, ilienda hivyo hivyo.
Halafu Labor Charge unachaji vipi?
Vizuri mkuu [emoji120]Imekaa njema sana. Hii itaendana na mahitaji yangu kabisa.Soon naingia hatua ya pili
Hamna na mimi ni fundi pia
Ngoja nipaue nitakuleta chugaHamna na mimi ni fundi pia
Kwann huo mfumo wa darini msiuweke sakafuni dari likawa huru?-Mpaka Mfumo wa Umeme Kukamilika kwenye Jengo lako hupitia Hatua 3 kuu zifuatazo
1.KABLA YA PLASTA.Huusisha Uwekaji njia za upitishaji waya za umeme,+Data,intercom,motor gate na cctv camera.( +ni option ya mteja) huanza kwa Kuchana ukuta ,Kuweka metal box za switches ,round box taa za ukutani ,waterproof box ,D.B, conduit pipe nk.
2.BAADA YA BLANDARIN NA KABLA YA KUWEKA GYPSUM BOARD.
-Hatua hii huusisha kutandaza bomba darini kulingana na circuits, Kupitisha waya na kufanya connection.
baada ya apo ikiwa mteja ana uharaka wa kuvuta umeme tutamjazia fomu na mchoro kwa njia ya mtandao Nikonnekt,baada ya muda mfupi atapata huduma ya umeme.
3.BAADA YA SKIMMING AU RANGI NA BAADA YA UWEKAJI WA GYPSUM BOARD.
-Hatua hii ni kufunga vitu kama Taa,Switches,fan nk.
STAGE 1.
Karibu kwa tukuhudumie kwa upande wa wiring za umeme ,Tuna Leseni na Tupo kwenye mfumo wa Nikonnekt Tanesco.
Wasiliana nasi kwa
0734840433call/whatsaap
ronicelectrical@gmail.com
Tupo dar es salaam.pia mikoa mingine tunawafikia kwa gharama nafuu.
View attachment 2634100
View attachment 2634151
STAGE 2
View attachment 2634134
View attachment 2634157
STAGE3
View attachment 2634167
Umetisha sana mkuuMCHANGANUO WA VIFAA VYA UMEME(SEHEMU YA 3)
Nyumba yenye vyumba vitatu au vi nne vya kulala(vyumba vitatu vya kulala, master, siting room, dining room, kitchen, bathroom,stores etc.
(1)VIFAA AWAMU YA KWANZA
*Main switch 12 way(tronic)-tsh 130, 000/=
*conduit pipe za robo tatu- 60×1500-tsh 90, 000/=
*conduit pipe za inch 1-10×3500-tsh 35, 000/=
* Bomba la inch 2+ elbow 4- tsh 16, 000/=
*waterploof box(100×100)-2×6000-tsh 12000/=
*round box-40×500-tsh 20, 000/=
*squal box double(tronic)-23×2000-tsh 46, 000/=
*squal box single-30×1500-tsh 45, 000/=
*change over switch (63 ampere+tronic)- tsh 160, 000/=
JUMLA TSH 554, 000/=
(2)VIFAA AWAMU YA 2
*2.5 mm wire(single-master cable)-9roll ×79000-tsh 711, 000/=
*1.5mm wire(single-master cable)-10 roll ×45000-tsh 450, 000/=
*16 mm wire mita 12×14000-tsh 168, 000/=
*4mm wire mita 12×5000- tsh 60, 000/=
*coxial cable -1 roll(tronic)-tsh 60, 000/=
*circuit breaker tronic- tsh 45, 000/=
*Earth load pure copper-tsh 50, 000/=
*Earth wire 4mm-mita 15×2000-tsh 30, 000/=
*conduit pipe za robo tatu-60× 15000-tsh 90, 000/=
*conduit pipe za inch 1-15×3500-tsh 52, 500/=
*cooker switch- tsh 25, 000/=
*DP switch 45A-3× 12000-tsh 36, 000/=
*DP switch 20A- 6×7000- tsh 42, 000/=
*switch socket double-22× 8000-tsh 176, 000/=
*switch socket single -2×5000-tsh 10, 000/=
*TV socket doube 3× 10000-tsh 30, 000/=
*round box-40×500- tsh 25, 000/=
*round cover-40×500- tsh 20, 000/=
*4 gang switch -6×7000-tsh 42000/=
*3 gang switch 4-×5000-tsh 20, 000/=
*2 gang switch 3×4000- tsh 12, 000/=
*1 gang switch 5×3000-tsh 15000/=
* light timer(20 Ampere-tronic)-tsh 75, 000/=
Jumla Tsh 2, 244, 500/=
Tsh 554, 000/=
Jumla Tsh 2, 798, 500/=
*Hii ni wiring ya kisasa kabisa.
*swich za kuchajia kila vyumba zaid ya moja, mfumo wa water heater, mfumo wa AC, mfumo wa ving'amuzi, taa za nnje zaidi ya 15, mfumo wa two way switch, taa za nnje zikifika muda zinajiwasha zenyewe na kujizima zenyewe.sehemu ya washing mashine.switch za kuchajia za nnje ambazo utakuwa unaruhusu umeme kwa ndani endapo utaitaji kuzitumia.change over switch endapo utaitaji kutumia kushare wiring moja kutumia kwenye umeme wa tanesco na solar au generator.
Zingatia: bei itapanda endapo utanunua taa za urembo na switch za urembo.
CC MahondawAhsante kwa taarifa...
Naweza pata mawasiliano yako mkuuMCHANGANUO WA VIFAA VYA UMEME(SEHEMU YA 3)

0734840433.karibu BossNaweza pata mawasiliano yako mkuu
Ahsante sana ndugu.Huyu ni fundi ababaishi,👍👍
Mkuu sijaona gharama ya TAA, au nyumba hii haina taa??MCHANGANUO WA VIFAA VYA UMEME(SEHEMU YA 3)

Gharama ya taa uwa ni changamoto kwa sababu ujui mteja anapenda taa gani.ni bora aende mwenyewe kuchagua au umuonyeshe achague ili ijulikane gharama.Mkuu sijaona gharama ya TAA, au nyumba hii haina taa??