Zijue hatua za uwekaji wiring ya umeme katika jengo lako kadri ujenzi unavyoendelea

Gharama ya taa uwa ni changamoto kwa sababu ujui mteja anapenda taa gani.ni bora aende mwenyewe kuchagua au umuonyeshe achague ili ijulikane gharama.
Mkuu nyaya nzuri ni zipi nisugestie Kampuni nzuri kaka.
 
Unatoa elimu na kutangaza biashara papo kwa papo ! Hongera sana . Mjini shule lakini usije na makaratasi
 
Nimeamua kutumia hii hii na naamin itanisaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…