Mkemia Fred James
Member
- Jul 31, 2022
- 45
- 98
1. Soma kwa uangalifu(Attention).
Saa moja ya kusoma kwa umakini ni bora kuliko kusoma kwa saa nne kwa kukengeusha fikra nyingi.
2. Kaa mkao mzuri wa mwili.
Mkao wako huathiri jinsi unavyohisi. Mkao wa uvivu hautaongoza kwa akili yako kuzingatia unachokisoma.
3. Fafanua unachokisoma.
Ikiwa huwezi kueleza ulichojifunza basi hujaelewa. Jaribu walau kumfundisha mtu.
4. Pata ushauri kwa kujadili(Discussions).
Kuna watu ambao wanaweza kukusaidia kujifunza vizuri, kuwa mnyenyekevu na kuomba usaidizi.
5. Nunua pointi(meza point).
Ubongo wetu hukariri pointi fupi kwa urahisi kuliko aya kubwa, andika madokezo yako ipasavyo.
5. Kunywa maji ya kutosha.
Ubongo Kukaa bila maji kunaweza kuathiri utendaji wa akili na hivyo kunywa maji ya kutosha
6. Pata muda wa kupumzika baada ya kusoma.
7. Jua sababu inayokusukuma kujifunza/kusoma kitu fulani.
Unapojua umuhimu huo hutaacha na hutakumbushwa kusoma.
Endelea kujifunza!
Kura yako ni muhimu.