Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,074
Kuishi na boss wa kiafrica kwa amani inatakiwa uwe muigizaji mzuri wa maisha na kuzijua mbinu za kuishi nae [emoji28]
1: Hakikisha usitumie simu zaidi ya Elfu 50
2: Hakikisha huna suruali zaidi ya tatu na ikiwezekana ziwe zote nyeusi na Tshirt mpauko za kijivu
3: Hakikisha una kiatu pea moja tu cha mtumba cheusi iwe ngozi kweli kweli
4: Hakikisha haufugi nywele na ukitaka kunyoa hakikisha unanyolewa upara kwa kiwembe
5: Hakikisha boss wako asijue kama unamiliki mchuchu hata siku moja maana atahisi unahonga pesa zake
6: Hakikisha hauonekani popote pale kwenye aina yeyote ya starehe
7: Hakikisha hauonekani na kitu chochote kipya cha gharama
8: Hakikisha haupigii simu boss wako hata siku moja zaidi ya kubeep ama kutuma sms
N:B
Kwa kufanya hivyo utaonekana kijana usiokuwa na makuu ambaye sie mfujaji wa pesa na utakaa kwa boss wako kwa amani hadi pale utapopata mtaji wa kutosha na wewe kwenda kuanzisha biashara zako binafsi kinyume na hapo tegemea kufukuzwa kabla hujatimiza malengo yako [emoji28]