Zijue mbinu za wanawake wanazotumia kuchepuka bila kukamatwa

Kwanini umdokoe dokoe hivyo mtu?
Binaadamu hachungwi....
Na siku zote maudhi hayatafutwi.....

Jazaneni upepo hapa, mkayafanye kwa wenza wenu mfe kwa presha.

Kwa hiyo unataka uhuru wa kuchepuka? Nashangaa hutoi hata mbinu moja na wakati wewe mtaalamu!
 
Umeanza vizuri lakin umemalizia vibaya,,,yaan sisi hatuna akili???nyie ndo hamna akili ndo mana tunachepuka na hamtukamati.
 
Unapokuwa kwenye uhusiano, kuna baadhi ya vitu ukiwa unavifuatilia sana, kwa huu Ulimwengu wetu utakuja kujiumiza bure
 
Mnatutisha mabachelor yaan kila ninachokisikia kwenye ndoa ni michepuko na kusalitiana bas angalau siku mojamoja wanandoa watupe mrejesho wa raha ya ndoa ...hizi negativity zinatupa hofu bachelors
 
[emoji119][emoji119]
 
Sio vzr kumuexpoz humu
 
Kuna ukweli lkn nahisi mtoa mada amepigwa na kitu kizito
 
Lazima utombewe tu. Fanya mambo mengine ya msingi. Achana na mtu anatumia kiungo chake mwenyewe alichopewa kupata raha. Na wewe fanya yako
 
Hii inimatata snaa hnahutumiwa nawanawake wengi,Sana hata mm binafsi nimewahi kuitumia,Kwa mwanamke mmoja,nnakuambia hivi hii njia nimatata snaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…