Zijue mbinu za wanawake wanazotumia kuchepuka bila kukamatwa

Kuna kesi nili iamua, mwanamke alikuwa analiwa na dereva Car Parking, CCTV Camera ndio ziliwanasa.
Mke anafanya kazi Benki Moja Makao Makuu pale Palm Beach- Dar es salaam na mume yupo Meneja Uhusiano kwenye Shirika moja ambalo limuezwa na kuna Watanganyika wengi wanapinga uuzwaji wake na wengine wamekamatwa.

Mke ana Prado LX Series kawekewa dereva , ameweka american tinted ,ukiwa nje huoni ndani na ukiwa ndani unaona nje vizuri; hivyo akitoka kazini wanaweka gari kwenye shedi wanafanyia sex seat ya nyuma na CCTV ndio huwa inaonyesha gari ikinesa nesa kila siku na baada ya dakika 15 unaona mke akitoka na kurekebisha braa, akasema alikuja kugundua harufu ya K kwenye gari na kukuta "KWA MSAADA WA WATU WA MAREKANI".
 
Wasipo elewa hii basi..

16. Mkeo anakuonyesha jeuri, hakusikilizi, hakuheshimu, anakutukana - hata kama uwe na kosa gani, mme ni kichwa - stuka.
 
Basi kwa mifano hii mke wangu keshaliwa sana kimasihara.

Najiuliza wangapi nimewala kimasihara pia. Matarajio ya kuwala kimasihara lakini mwisho wa game ni yule tutakayezeeshana huko mbeleni ndo mshindi

Bana eeh kila mtu ashinde mechi zake😀
 
ni kweli kabisa wanawake hawana akili naomba mungu aendelee kuwa nyima akili
Kakwambia nani Mungu kawanyima akili? Hujui binti wa 18-20 anamburuta mbaba wa 60-70 mpaka maji anaita mma halafu unasema Mungu aendelee kuwanyima akili! Sema hapo hapo walipo basi maana zikiongezeka wanaume hawataonekana kabisa.
 
We jamaa Upewe PhD 😆😆😆
 
Achepuke tu mwili wake huna mamlaka juu ya matumizi ya mwili wake
 
Sasa Simplicity ukisema umcontrol Mkeo kama hivyo hata kama sio Mchepukaji si atakuwa kama Mtwa na wewe unakuwa kama Nyampala.

Vile vile kwenye ulimwengu wa sasa ufanye kazi hiyo yoote ya kumchunguza na hizo kazi za kujitafutia Ugali wa watoto utapata muda saa ngapi?
 
Hii akili uwekeze kwenye maendeleo tutasonga Kama Taifa,hakuna Ajira kwa vijana saizi,shule hazina madawati,watt wetu hawapati lishe na Tiba nzuri wawapo shuleni huko.
Life isn't about pussyy overall Kama amependa kuitoa ataitoa labda uchukue utembee nayo.
Binafsi am not ruled by pusie but I eat them and I forgot immediately.
You'll think more about how to take care of the pusie rather than how even to build your future and leave inheritance to your grandchildren.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…