Zijue mbinu za wanawake wanazotumia kuchepuka bila kukamatwa

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe umejuaje?
Itabidi hili tulijadili chemba, una kitu wewe!
Tulia basi, sina kitu chochote, mabonge wengi wavivu. Wakikalia wanakaa kama kwenye kiti badala ya kufanya up and down[emoji23][emoji23]
 
Tulia basi, sina kitu chochote, mabonge wengi wavivu. Wakikalia wanakaa kama kwenye kiti badala ya kufanya up and down[emoji23][emoji23]
Una kesi ya kujibu 😂😂😂
Yote hayo, uliyajuaje? Utanionyesha hilo bonge
 
Mpaka mkeo anafanya hayo yote wewe nafasi yako ni ipi? Yaani wageni wanaingia tu kwako kama gheto? Nyumba lazima iwe na heshima yake na mipaka, na hii inawekwa na kichwa cha familia. Ukiona haya yote yanafanyika jua kuna mahali umeteleza hujasimamia nafasi yako

Vikoba siku hizi tunamalizana kwenye group, hatukutani wala kuonana, kama ni miamala ya vikoba tunatumiana kwa simu, kuonana ni mara moja mwisho wa mwaka siku ya kuvunja

Safari za kikazi lazima kuwe na official comunication kati ya mkeo na ofisi yake, kama kwa hili napo unadanganyika basi wewe ni zoba

Kusalimia ndugu, kikwetu mke anapotaka kwenda kwao au kwa ndugu ni lazima kuwe na mawasiliano na mumewe, sasa ukiona mkeo anaaga kwenda kwao na hujapewa taarifa na upande wao basi huna mahusiano mazuri na wakwe zako, unaposema anaenda kwa ndugu sidhani kama anaweza kwenda kwa ndugu ambao huwafahamu au hujawahi kuwasikia, ni lazima kuwa na mahusiano ya karibu kati yenu na huyo ndugu ndio uweze kumruhusu kwenda

Kuhusu kanisani, familia yenye misingi imara huwa wanakwenda kanisani kama familia, kwa maana ya baba mama na watoto na baada ya ibada wanarudi nyumbani kujumuika pamoja, ukiona mkeo anaenda kanisani mwenyewe kila siku tena kukesha huko ujue wewe mwanaume umeshindwa kujenga misingi ya familia yako

Wanaume.mkirudi kwenye mising yenu, basi haya mambo yatakua historia
 
Dah kumbe ni toka 2016 nimekuja kusoma leo 29.10.2023 0147hrs . Umetisha sana
 
Aiseeee
 
Kama haaminiki ukae nae mwaka wote huo wa nini?
 
Unakuta hata wewe unajidai unawajua wanawake na wanakucheart tuu mapenzi hayana mjuzi broo ni kuomba tuu mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…