Zijue Mila za wanawake wa ki Congo za kuvutia wanaume

NGULI

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2008
Posts
4,801
Reaction score
643
No research no right to tell...

Kwa wale waliofika Congo na wadadisi wa mambo watakubaliana na mimi kuwa wanawake wanaotunza itikadi na mila za ki Congo, huwa wakioga hawaoshi baiolojia zao ili zitoe harufu ya mvuto kwa wanaume wakati wa kujamiana.

Nilishtuka kusikia aina hii ya mila lakini nilivyoulizia kwa baadhi ya wanaume walisema hio hali ya kutokuoshwa kwa mashine ndio kunakowapa hashikiki na hamu ya kujamiiana muda mrefu na wapenzi wao.

Najua kuwa wajua na ungependa kujua zaidi.
 
Haha.... Nguli umeibua wapi hii?

Sasa hawa wenzetu hawana tofauti na beberu...

Beberu akitaka lazima anuse ndio anapandisha mzuka....lol
 
Niko Congo wiki ya pili sasa kikazi. Tunataka kufungua branch huku. Ndio nimekumbana na hio kitu nikaona nishee nanyi sio mchezo
 
Utakuwa unafaidi sana Nguli...

Mimi niliwahi kupata wanyarwanda wanaotoka Congo...

Hawa watu ni professional kwa ngono, sio kama Mademu wa Bongo...Mapenzi=0%, Pesa=99%
 
Hakuna magonjwa ya fungus huko?? I cant imagine going with the thing which no water has passed nearby for long. Harufu yake inakuwaje? Mhhhh! We acha tu!
 
duu job true true..
 
Hakuna magonjwa ya fungus huko?? I cant imagine going with the thing which no water has passed nearby for long. Harufu yake inakuwaje? Mhhhh! We acha tu!

ndivyo walivyoelekezwa na mabibizo...
 
No research no right to tell...

Kwa wale waliofika Congo na wadadisi wa mambo watakubaliana na mimi kuwa wanawake wanaotunza itikadi na mila za ki Congo, huwa wakioga hawaoshi baiolojia zao ili zitoe harufu ya mvuto kwa wanaume wakati wa kujamiana.

Nilishtuka kusikia aina hii ya mila lakini nilivyoulizia kwa baadhi ya wanaume walisema hio hali ya kutokuoshwa kwa mashine ndio kunakowapa hashikiki na hamu ya kujamiiana muda mrefu na wapenzi wao.

Najua kuwa wajua na ungependa kujua zaidi.
mmh!! ngoja nimpigie nyoshi el saadat anithibitishie.:biggrin:
 
ndivyo walivyoelekezwa na mabibizo...

Kwa vile daladala za huku hazijahi kama za mbagala mtu ungeshuka njiani. Unapishana na mtu utazanishia wamecheuwa vyoo maeneo ya uswahilini kwetu
 
hiyo harufu itakayokua inatoka hapo..........uuuuuuuu,balaaa
 
Peleka Chit Chat ndio inafaa zaidi, na hiyo ni Congo DR, Congo Republic au kijijini kwenu?
 
Itabidi nikirudi tena DRC nikadadisi hili. Kwa miezi 10 niliyoishi kule sikuwahi kulisikia!

Kweli Duniani kuna mambo!
 
No research no right to tell...

Kwa wale waliofika Congo na wadadisi wa mambo watakubaliana na mimi kuwa wanawake wanaotunza itikadi na mila za ki Congo, huwa wakioga hawaoshi baiolojia zao ili zitoe harufu ya mvuto kwa wanaume wakati wa kujamiana.

Nilishtuka kusikia aina hii ya mila lakini nilivyoulizia kwa baadhi ya wanaume walisema hio hali ya kutokuoshwa kwa mashine ndio kunakowapa hashikiki na hamu ya kujamiiana muda mrefu na wapenzi wao.

Najua kuwa wajua na ungependa kujua zaidi.

Congo ipi uko wewe? Jaribu kudadisi ni kabila gani hasa wenye mila hiyo na utujuze.
 
hakuna kupiga deki hapo kaka maana unaweza kuwa na mvi mdomoni si mda mrefu
 
Huko ni balaa aisee, hata hamu ya mapenzi hapo haitakuwepo!
 
Back
Top Bottom