Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,414
- 2,181
Drone Computer tumekuwa kwa muda mrefu tunawashauri watanzania juu ya elimu ya vitu vya ki-electronics hususani computer ikiwemo mambo ya kuzingatia kabla ya kununua, vitu vya kufanya na vitu vya kuepuka ili kifaa chako kidumu kwa muda mrefu n.k. Na leo tunakuletea elimu ya computer zainazotosha kazi yako bila kuathiri bajeti. Karibu
1. Laptop za kukaa na chaji muda mrefu
Hizi ni laptop zimewekwa sifa chache kuanzia ram 2gb, hard disk 160gb na uwezo wa kukaa na chaji hadi masaa 4. Bei kwa laptop hizi hazizidi laki 3
2. Laptop Ndogo za camera (Min Laptop)
Hizi ni laptop ambazo ni rahisi kuzibeba na kwenda nayo popote,ni nyepesi . Kioo chake ni inch 12.Sifa zake huanzia hard disk 320gb na ram 4gb. Bei ya hizi laptop ni laki 3.
3. Laptop za kubwa za camera
Hizi ni laptop kubwa kiasi ,mara nyingi kioo ni inch 15.6.Huanzia hard disk 320gb na ram 4gb.Bei zake ni laki 4
4. Laptop za Tablet
Hizi ni laptop zinazoweza kugeuza na kuwa tablet . Ni touch screen ,zenye camera.Sifa zikianzia hard disk 320gb na ram 4 gb. Bei ya laptop-Tablet hizi ni Laki 4.5
5.Apple Desktop All In One
Hizi ni desktop ambazo , CPU yake ipo ndani ya monitor(screen) ,hivyo unapoweka mezani huna haja ya kuhama ili kuweka flash, CD au kuzima na kuwasha computer kwani vyote viko kwenye monitor (screen) .Bei ya hizi ni Laki 5.
Computer zote hizi zimetumika kiasi nchini Canada,kisha wakafunga upya kila kitu kabla ya kutuma nchini, kwa hiyo kwa kifupi tunaziita mpya kwa Africa (Refurbished).
Kwa mahitaji ya aina yoyote ya computer ,wasiliana nasi kwa 0713-039875
Tupo Kariakoo (China Plaza)
Pia tunafanya home delivery na kutuma mikoani. karibuni
Ofa kwa wanaokuja dukani, watapewa usafiri wa Uber BURE kuwarudisha walipotoka, na wateja wa mikoani usafirishaji ni BURE.
Update:
Full desktop kwa 280,000/- ofa kabla ya wikiendi hii kuisha. Sifa zake:hdd 160, ram 2gb, monitor 17' ,free mouse and keyboard