Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla

Hapana.....STK hutumika Na taasis flan za kiserikal na STL pia taasis tofaut kuna mtu qliwah nambia ilia kichwa kimejaa mawazo ya kusoma namba nimeshasahau ila nashukulu
Duh!mkuu ulikuwa unaandika ukiwa kwny mwendokasi nini?!
 
Ukiona mtaani gari zimeandikwa ktk plate number kama ifuatavyo usiumize kichwa jua ni hivi:

1. Ngao-Rais, makamu wa rais na waziri mkuu
Karibuni
Hapo wana magari mengine meusi ya Escort
  1. E1 = Escort 1 ni Rais
  2. E2 = Escort 2 ni Makamu
  3. E3 = Escort 3 ni Rais wa Zanzibar km hayupo ni Waziri Mkuu
 
Kuna gari niliona zimeandikwa NS.

Maana yake ndio nn?
 
Dahhh..afadhali nizijua..nakumbuka nilimuulizaga kaka yangu kirefu cha DFP..eti ni Dental Formulae Power.. tena ngoja nmpigie simu nimshushue.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
leo nimeona gari limeandikwa kwenye plate number KS, ndo nani huyo? na magari mengine nimeyaona yana namba fulani kisha CCL au CCI, ndo nini hizo herufi? msaada plz!
 
Ukiona Ngongo basi ujue ni Ngongo wa JF🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…