Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla

Mi nijuzeni wakuu maana nijuavyo rc ni za wakuu wa mikoa ila rc-cr ni mkuu wa mkoa gani?
 
Nadhani hapo ni controller and...
 
Ni kama ilivyo kwa gari na pikipiki binafsi walianza AAA wakaenda BAA ,CAA na karibu tunaanza DAA! The.same kwa magari na pikipiki za serikali sio mpaka miaka kumi bali ikifikia namba flani basi wanahamia herufi.inayofuata!!!
 
SM ....Shirika Maskini
ST.....Serikali Tajiri
STK......Serikali Tajiri Kupindukia
SU......Siasa ya Ujamaa
 
Habari zenu, naomba mwenye kujua kirefu na maana ya hizi plate number atulijulishe kwa faida ya wengine pia.

DFP
DFPA
STK
STJ
SU
PT
na mengineyo kama haya.
 
Dfp development fund programme

Pt police tanzania
su shirika la uma
 
Stj,stk,stl na kuendelea maana yake serikali kuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…