Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla

nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu hizi plate number , shukran sana kwa wote mlioshiriki kunitoa ujinga
 
Pia Sijawahi kuona wala kusikia STB wala STC. Ila ST zipo....na STA sio STA, mara nyingi huwa ST halafu namba, halafu mishwo ndio A.

STA ...B ...C ...D zilitumi,a zaamani sana series yake ilishakwisha
 
uzi makn
 
Kuna mi nqmba imeandikwa SGR alafu palte color zao ni nyeusi maandishi meupe ..hapa ni akina nqni hao
 
Inakuwaje pale unakuta gari jipya kabisa lakini namba za zamani, kwa mfano kuna V8 moja mpya kabisa ina namba T804AVB
hizo ni za serikali zinakua na kazi maalum ukitaka kujua namba yake kaangalie kwenye kioo
 
hizo ni za serikali zinakua na kazi maalum ukitaka kujua namba yake kaangalie kwenye kioo
Siyo kila gari lazima namba yake ya usajili iandikwe kwenye kioo/vioo (huko kuandika namba kwenye vioo si utaratibu wa kisheria). Hiyo ya kuandika kwenye vioo ni watu wanaamua tu kwa kulinda vioo vyao visiibiwe. Labda kama ulikua na maana kwenye kioo kwa maana ya windshield, aangalie sticker ya Insurance. Hiyo sticker kwa gari ya serikali hutaiona kwa sababu magari ya serikali hayalipiwi insurance.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…