Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla

Jana maeneo ya posta nimeona gari ina number plate inaanza na UT then namba.... maana yake ni nini?
 
Kuna hii gari T404 MGM pick up double cabin number plate ni yellow color anaendesha mwanamke sijui ni kitengo gani kile?
 
Hiyo namba ni ya kiongozi gani
 

Attachments

  • IMG20241109183955.jpg
    165.2 KB · Views: 5
Uzi wa kitambo ila una elimisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…