Lavan Island
JF-Expert Member
- Oct 24, 2015
- 2,377
- 2,048
Nchi ambazo Mtanzania Anakwenda bila ya Viza
Soma pia:
Tumeona ni vyema tukusogezee orodha ya nchi 57 ambazo Mtanzania mwenye pasipoti ya kawaida anaweza kusafiri ama kutembea bila ya kuomba viza;
Search:
| Nchi | Masharti ya Viza | Muda |
|---|
| Antigua and Barbuda | Huhitaji kuomba viza | |
| Bahamas | Huhitaji kuomba viza | Kwa muda wa miezi 3 |
| Bangladesh | Huhitaji kuomba viza | Kwa muda wa siku 90 |
| Barbados | Huhitaji kuomba viza | Kwa muda wa miezi 6 |
| Belize | Huhitaji kuomba viza | |
| Benin | Huhitaji kuomba viza | |
| Bolivia | Viza unapata utakapowasili | Kwa muda wa siku 90 |
| Botswana | Huhitaji kuomba viza | Kwa muda wa siku 90 |
| Burundi | Huhitaji kuomba viza | Kwa muda wa miezi 3 |
| Cambodia | Viza unapata utakapowasili | Kwa muda wa siku 30 |
| Cape Verde | Viza unapata utakapowasili | |
| Comoros | Viza unapata utakapowasili | |
| Democratic Republic of the Congo | Viza unapata utakapowasili | Kwa muda wa siku 7 |
| Djibouti | Viza unapata utakapowasili | |
| Dominica | Huhitaji kuomba viza | Kwa muda wa miezi 6 |
| Ecuador | Huhitaji kuomba viza | Kwa muda wa siku 90 |
| Fiji | Huhitaji kuomba viza | Kwa muda wa miezi 4 |
| Gambia | Huhitaji kuomba viza | |
| Ghana | Viza unapata utakapowasili | Kwa muda wa siku 30 |
| Guinea-Bissau | Viza unapata utakapowasili | Kwa muda wa siku 90 |
| Haiti | Huhitaji kuomba viza | Kwa muda wa miezi 3 |
| Indonesia | Huhitaji kuomba viza | Kwa muda wa siku 30 |
| Iran | Viza unapata utakapowasili | Kwa muda wa siku 30 |
| Jamaica | Huhitaji kuomba viza | |
| Kenya | Huhitaji kuomba viza | Kwa muda wa siku 30 |
| Laos | Viza unapata utakapowasili | Kwa muda wa siku 30 |
| Lesotho | Huhitaji kuomba viza | Kwa muda wa siku 90 |
| Madagascar | Viza unapata utakapowasili | Kwa muda wa siku 90 |
| Malawi | Huhitaji kuomba viza | Kwa muda wa siku 90 |
| Malaysia | Huhitaji kuomba viza | Kwa muda wa siku 30 |
| Maldives | Viza unapata utakapowasili | Kwa muda wa siku 30 |
| Mauritania | Viza unapata utakapowasili | |
| Mauritius | Huhitaji kuomba viza | Kwa muda wa siku 90 |
| Micronesia | Huhitaji kuomba viza | Kwa muda wa siku 30 |
| Mozambique | Huhitajiki kuomba viza | |
| Namibia | Huhitaji kuomba viza | Kwa muda wa miezi 3 |
| Nepal | Viza unapata utakapowasili | Kwa muda wa siku 90 |
| Nicaragua | Viza unapata utakapowasili | Kwa muda wa siku 30 |
| Palau | Viza unapata utakapowasili | Kwa muda wa siku 30 |
| Philippines | Huhitaji kuomba viza | Kwa muda wa siku 30 |
| Rwanda | Huhitaji kuomba viza | Kwa muda wa miezi 6 |
| Saint Kitts and Nevis | Huhitaji kuomba viza | Kwa muda wa miezi 3 |
| Saint Lucia | Huhitaji kuomba viza | Kwa muda wa wiki 6 |
| Saint Vincent and the Grenadines | Huhitaji kuomba viza | Kwa muda wa mwezi |
| Samoa | Viza unapata utakapowasili | Kwa muda wa siku 60 |
| Seychelles | Kibali cha utalii utapata utakapowasili | Kwa muda wa miezi 3 |
| Singapore | Huhitaji kuomba viza | Kwa muda wa siku 90 |
| South Africa | Huhitaji kuomba viza | Kwa muda wa siku 90 |
| South Sudan | Viza unapata utakapowasili | |
| Swaziland | Huhitaji kuomba viza | Kwa muda wa siku 30 |
| Timor-Leste | Viza unapata utakapowasili | Kwa muda wa siku 30 |
| Togo | Viza unapata utakapowasili | Kwa muda wa siiku 7 |
| Tuvalu | Viza unapata utakapowasili | Kwa muda wa mwezi 1 |
| Uganda | Huhitaji kuomba viza | Kwa muda wa miezi 3 |
| Vanuatu | Huhitaji kuomba viza | Kwa muda wa siku 30 |
| Zambia | Huhitaji kuomba viza | Kwa muda wa siku 30 |
| Zimbabwe | Huitaji kuomba viza | Kwa muda wa miezi 3 |
Showing 1 to 57 of 57 entries