Zijue Ndege Binafsi Za Viongozi Mashuhuri Duniani!

Dunia ni tamu ingawa tunaiacha tunazikwa uchi na kipande cha kitambaa wengine na nguo mbili tu koti na suruali(suite)
 
Sasa unataka linganisha na concord la trump na putin au yule wa japan?
Hakuna rais anayetumia concorde kwa sasa.
Concorde zilikua ni ndege zenye speed mno duniani ila ilibidi zisitishwe matumizi sababu ya ki usalama zilikua rahisi kulipuka

Mobutu alikua anakodi kutoka Air france anazitumia kwenda nchi mbali mbali duniani then zinamrudisha gbadolite (nyumbani kwake) na alijenga uwanja wa ndege mkubwa sana ili ziweze kutua
 
Asante mkuu kwa utafiti wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…