Zijue Ratiba za Simba SC na Yanga SC katika Michuano ya ( Kimataifa ) CAF 2018/2019 zilizotolewa hivi punde tu!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Tarehe 27 November 2018

Simba SC vs Mbambane Swallows ( TANZANIA )

Tarehe 4 December 2018

Mbambane Swallows vs Simba SC ( SWAZILAND )

Kama Simba SC itafuzu itacheza na Klabu kutoka ama Zambia au Msumbiji

Tarehe 27 November 2018

Yanga SC vs Kauzu FC ( Madimbwini Kaunda TANZANIA )

Tarehe 4 December 2018

Kauzu FC vs Yanga SC ( Bandari Temeke TANZANIA )

Kama Yanga SC itafuzu itacheza na Klabu kutoka ama Ileje Mkoani Mbeya au Nanjilinji Mkoani Lindi

Nikiwa kama Mtanzania nisiye na Mapenzi na Timu zote hapo mbili kwani Mimi Timu yangu pendwa na ninayoishabikia ni Biashara United kutoka Mkoani Mara ( Musoma ) nichukuwe tu wasaa huu kuzitakia kheri Wawakilishi wetu wawili Simba SC na Yanga SC katika hizo mechi zao muhimu za mwanzo.

Nawasilisha.
 
Biashara forever
 
IMG-20181030-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom