GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tarehe 27 November 2018
Simba SC vs Mbambane Swallows ( TANZANIA )
Tarehe 4 December 2018
Mbambane Swallows vs Simba SC ( SWAZILAND )
Kama Simba SC itafuzu itacheza na Klabu kutoka ama Zambia au Msumbiji
Tarehe 27 November 2018
Yanga SC vs Kauzu FC ( Madimbwini Kaunda TANZANIA )
Tarehe 4 December 2018
Kauzu FC vs Yanga SC ( Bandari Temeke TANZANIA )
Kama Yanga SC itafuzu itacheza na Klabu kutoka ama Ileje Mkoani Mbeya au Nanjilinji Mkoani Lindi
Nikiwa kama Mtanzania nisiye na Mapenzi na Timu zote hapo mbili kwani Mimi Timu yangu pendwa na ninayoishabikia ni Biashara United kutoka Mkoani Mara ( Musoma ) nichukuwe tu wasaa huu kuzitakia kheri Wawakilishi wetu wawili Simba SC na Yanga SC katika hizo mechi zao muhimu za mwanzo.
Nawasilisha.