Zijue rekodi walizoweka wasanii wa Tanzania

Ay anatakiwa apewe pongezi kuwafungulia milango ya kimataifa wasanii wa bongo
 
kitu chochote chenye ubora hupendwa na wengi ndomana hizi video za Godfather za kina diamond, kiba, shetta zinapigwa vituo Vingi Africa mana in high quality, ubora wa video pia tunaangalia recent teknolojia inayotumika internationally
Huyo usitarajie akakuelewa hata ukimwelewesha vipi,fuatilia komenti zake ndo utajua ninachokuambia. Lakini uzuri ni kwamba watu hao DIAMOND alishawapotezea.
 
REKODI YA MSANII KALUMANZIRA TUNGULI NI dimond,makofi kwake tafazari

unaanzaje kusahau hii recodi kwa mfano, msanii KILAZA kuwahi kutokea, ambaye yeye kama yeye hawezi toka mpaka atumie mgongo wa diamond, ambaye aliskia diamond anatoka kwa sababu ya skendo za wanawake akaenda kuwasaka tena wanawake wale wale wa dai, akaskia dai collabo na wanaigeria ndio zinamnyanyua na yeye mbio akaenda kufanya kollabo tena na davido yule yule waliokuwa wanambeza nae diamond kuwa bila davido asingetoboa, huyu msanii jamani sio mwingine ni KIBAKULI ZE KILAZAZII, ambaye ndiye msanii pekee anasubiri diamond anyanyue mguu ndio yeye abandike hapo wa kwake. HURUMA KWAKE JAMANI, makofi kwa diamond Mungu akuzidishie manake bila wewe kibakuli ingekuwaje jamani??? ndio tulishampoteza hivyo.
 
Alikiba hajawahi kumfata davido kumuomba collabo ,
Ila davido ndiye aliyeomba aimbe pamoja na Ali Kiba
 
Tutajua tu itakapofika siku lakini Davido sio wakuomba collabo kwa Kiba never

Davido ni nani mpaka asiombe collabo kwa Ali ?

Kiba hajawahi kumtafuta davido kuongea nae lolote lile na kwa Mara ya kwanza Kiba kaiona habari kwa Millard ayo then mambo mengine ndio yanafuata
 
Davido ni nani mpaka asiombe collabo kwa Ali ?

Kiba hajawahi kumtafuta davido kuongea nae lolote lile na kwa Mara ya kwanza Kiba kaiona habari kwa Millard ayo then mambo mengine ndio yanafuata

Kiba anaweza asiongee na davido kama diamond alivyowah kusema kwenye media kuwa hawachat na davido bt management zao ndio zinamahusiano, kwaio inawezekana Rockstar4000 ina mazungumzo na Davido for collabo.
 
Ngoja kwanza nikuulize kitu

Davido alisemaje alivyohojiwa na Millard ayo ?
 
Ngoja kwanza nikuulize kitu

Davido alisemaje alivyohojiwa na Millard ayo ?

Alisema kuna collabo inakuja na mtanzania Alikiba thn akakataa kuiongelea hapo tu nikajua kua hawez kuongelea kitu ambacho si chake terms and condition"
 
Alikiba hajawahi kumfata davido kumuomba collabo ,
Ila davido ndiye aliyeomba aimbe pamoja na Ali Kiba

kiba anajiweza bwana haombagi bust za kijinga jinga, hata kupigiwa debe kwenye KTMA na wema sio kiba aliyeomba kubebwa na wema, si unajua?? wema ndio aliyemuona kiba ampigie matarumbeta, mnatamani story ziwe za hivyoooo??? hahahahahahahahaaaaaaa!!! alafu wema wewe nyokooo, hata dogo huna mxiuuuw zako, mwenzako akuombe private alafu wewe uje ubwabwaje hadharani, kwa kweli sikupenda.
 
Davido ni nani mpaka asiombe collabo kwa Ali ?

Kiba hajawahi kumtafuta davido kuongea nae lolote lile na kwa Mara ya kwanza Kiba kaiona habari kwa Millard ayo then mambo mengine ndio yanafuata

ngoja siku davido akiropokwa kama wema ndio tutajua muombwaji na muombaji, millard kamuhoji mtv, na alichosema davido tutarajie ngoma mpya ALIYOFANYA na kibakuli this means IMESHAFANYIKA hakusema NINATARAJIA KUFANYA, na hata angesema natarajia kufanya, bado inamaanisha mazungumzo yameshafanyika na kuna makubaliano, msividharau vitecno vyetu vinafungua hadi video atiii,sasa ukiniambia kiba aliionea habari kwa mara ya kwanza kwa millard, haya ni matokeo makubwa ya rula na pasi yaliyovuka matarajio.
 
™Hahahahaaaaa
.....Le mnyooshozi.....
 
Inaonekana mtoa mada hana rekodi nzuri ya muziki

Ulitaka aseme Ali kibakuli anaongoza kwa tuzo za ndani, za nje, kuongoza kufanya show nyingi za ndani, show nyingi za nje, kuingiza fedha nyingi... Utakaa sana, maana alishachemka. Alivyo anza na Cinderella na mac muga alitakiwa akomae mazima. Yeye akaridhika akaanza kucheketua
 
REKODI HII IMESAHAULIKA JAMANI. msanii anategemea UCHAWI NA KUROGA hili awike nae ni DIMOND

chuki hazisaidii zaidi ya kukufanya ufe masiini, nenda karoge na wewe unashindwa nn ilhali unajua kama uchawi unamfanya mtu afanikiwe!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…