Zijue sababu za jeshi letu JWTZ kutokutoa kichapo kingine kwa M23, kama tulivyotoa mwaka 2013 hadi 2014

Au, UN, MUNISCO kwanini hawataki kutoa kibali kwa askari walio chini ya miavuli yao pale Kongo?
 
Kwani jeshi la Congo linasemaje?
 
Congo itafute namna mpya ya kulinda nchi na watu wake
Kutokuwa na umoja kumeifanya nchi hiyo ushindwe kuwa na lengo la pamoja. Wanajeshi wenyewe vitani hawaelewani.

Unakuta mpo kwenye operation hawa wanawasiliana kwa kiswahili, wale wanawasiliana kwa lingala, wengine kwa Kikongo, wengine kiluba nk. Sasa hapo mtawezaje kuwa na umoja wa kumkabili adui.
 
Umeandikaa ufenengeee sanaa
 
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
haituhusu, sasa hatuwezi kukubali kumpoteza mtu anaeiingizia nchi yetu mamilioni ya shilingi kupitisha mizigo yake katika ardhi
Kwa hiyo, unataka kusema na sisi tunashiriki kuendeleza vurugu Kongo kwa vipande vya dinari?? Acha hizo Aisee!!!
 
Jeshi la Congo halina cha kusema. Kwanza ni jeshi dhaifu sawa sawa na mgambo wetu tu wa bongo.
Hata hao M23, nao nidhaufu sana, niliona kipande kidogo cha front line kule TikTok ( nadhani mambo wao Ali live stream kimakosa Ile scene), nao wako disorganized, na wanatumia watoto wadogo vitani!
 
 
Hivi bado kunawatu mnaamini propaganda za nyerere
Wapo ambao hawana akili kiasi cha kiziamini zile propaganda za Mchonga ila wengine ukweli wanaujua lakini wanajitoa ufahamu kwa sababu za uchawa.
Wabongo hudanganywa sana kuhusu uwezo wa jeshi lakini labda ni namna ya kuwapa confidence ili wakipelekwa kwenye uwanja wa 'kuhatarisha maisha' waende kwa moyo mmoja(with confidence).
 
Hapo ndipo lilipo tatizo. Yani wewe ushambuliwe, lkn usishambulie!!

Huu si upuuzi kbs.
Hizo ni taratibu za askari wanaofanya kazi ya kulinda amani (Peace Keeping) ila ingekuwa ni vita rasmi,siku nyingi sana M23 wangeita maji MMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…