Zijue sababu za jeshi letu JWTZ kutokutoa kichapo kingine kwa M23, kama tulivyotoa mwaka 2013 hadi 2014

Rwanda ya kutwanga coz ina chokochoko
Diplomasia haiendeshwi kienyeji hivyo mkuu.
Hata Marekani na washirika wake pamoja na kuumizwa na kile kinachofanywa huko Ukraine lakini hawajaingia vitani kuitwanga Russia.

So kwanini sisi tufanye hivyo wakati wakongoman wenyewe wapo busy na kina Kofii Olomide?
 
Ww una ushenzi sana
 
Sawa
 
Vipi kuhusu hao Wanajeshi wa Tanzania waliuawa na Waasi wa M23 huko DR Congo? Usifikiri kwamba kila Mtu humu mtandaoni unafanana naye katika ufahamu
Sijui una umri gani mkuu?
Kwani kuwa mwanajeshi ndio hauwezi kuuwawa?

Mbona wanajeshi wa Israel waliuwawa wengi sana kule Gaza na Lebanon?

Mbona wanajeshi wa Russia wanauwawa katika vita vyao na Ukraine, lakini bado wanatoa kipondo kwa Ukraine?

Mbona hata wanajeshi wa Marekani waliuwawa kule Afghanistan?

Kuwa mwanajeshi vitani haimaanishi kuwa hauwezi kuuwawa. Kazi ya jeshi na kuuwa au kuuwawa.

Mwanajeshi anaweza kufa mmoja baada ya yeye kuwaua waasi mia moja. Sasa hapo nani anakuwa amepoteza zaidi? Ni waasi mia moja au mwanajeshi mmoja?

Nimekutolea mfano wa nchi zenye majeshi bora kabisa duniani na teknolojia ya hali ya juu, lakini mamia ya wanajeshi wao waliuwawa vitani, sasa wewe unashangaa Tz kupoteza wanajeshi wawili!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…