Zijue sababu za Mwanaume kufia kifuani

Zijue sababu za Mwanaume kufia kifuani

Doctor Mingle

New Member
Joined
Jan 11, 2025
Posts
4
Reaction score
0
Ulishajiuliza inakuaje mtu hasa mwanaume anafia guest tena akiwa na mwanamke? Unadhani hua kinatokea nini mpaka wanakufa?

Asilimia kubwa ya visa vya wanaume kufia vifuani hutokea pale mwanaume anapofika kileleni.

Mara nyingi kufika kileleni hakusababishi kifo moja kwa moja, isipokua kama mtu ana magonjwa kama magonjwa ya moyo, presha nk. Unapofika kileleni mapigo ya moyo huongezeka, msukumo wa damu nao huongezeka.

Hayo magonjwa yanaweza kusababisha mwanaume kupata stroke au mshtuko wa moyo na hata kupoteza maisha wakati anapofika kileleni. Wengine unakuta wametumia dawa za kuongeza nguvu za kiume wakati huo huo wanatumia dawa zao za presha au za moyo Hawa nao hua wanakufa kutokana na presha kushuka ghafla wakati wa tendo au wanapofika kileleni.

NB: Kama Unasumbuliwa Na Changamoto ya Upungufu wa Nguvu za Kiume wasiliana na wataalamu kwa ushauri bora na sahihi kiafya.
 
Back
Top Bottom