Zijue sababu za ukosefu wa nguvu za kiume

Zijue sababu za ukosefu wa nguvu za kiume

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370
Ni live kabisa bila chenga siku hizi ukiweka tangazo tu la dawa ambazo hazipo za nguvu za kiume basi wanaume wengi wababa kwa vijana watakusaka kila anga, hii ina prove kwamba vijana na wababa wengi hawana nguvu za kiume yaani jogoo hawiki, sasa hizi ndo sababu

1. vyakula: ni lazima uwe ngagari hivi unakula kyepe yai, hamburgers, mayai, na makorokoro mengine hivi vitu mwachie dem/mke, mwanaume havikufai hata uwe na hela bado inabidi ujijue we ni mwanaume kula ugali, viazi utam, mihogo na matunda ili dushelele nalo lipate manguvu

2. Mazoezi: haya mazoezi ni muhimu sana wadau inabidi ufanye mwili ukiamka jaribu kukimbia, kuruka kamba, n.k hii inachangia kiasi cha nguvu unazopata mazoezini nyingine zinenda kuboost dushelele sasa wewe mwenzangu unamkia mayai unaenda kazini na gari unastarehe kwenye kiti ofisini unarudi na gari then unalalamika nguvu za kiume jitafakari

3.Punguza **nyeto: hapa nawazungumzia wazee wale wanaojistarehesha bafuni hii practice ni mbaya sana ile process inaminya sana misuli na baada ya mda misuli hulegea kabisa, sasa ndugu hii tz tumebarkiwa na madem bomba tena waliotuzidi idadi iweje ushindwe kumpata hata moja au ndo uDZ

4.Punguza Pombe, Bangi na Madawa- hizo milk stout na lite mnazopiga punguzeni maana kiafya zinachangia sana ukosefu wa nguvu za kiume pia wale wazee wa kupandisha majani acheni maana ile kush inaharibu sana bila kusau wazee wa ngada ambayo nayo ndo more dangerous

ntendeleaaaa
 
Ok tumekusikia na tutayafanyia kazi. Je na wanawake nao hawaishiwi nguvu?
 
Bila shaka watakuwa wamekupata na sasa wanatafakari
 
Inaelea wewe ni mdau wa puu nyeto!
Kwanini usingesema tuache puu nyeto instead umesema tupunguze?
Jee kuna faida gani ya kupiga puli kwa kiwango kidogo?
 
Back
Top Bottom