Zijue sheria ''mama' za infidelity...

Kwani naye si mjumbe kama wewe huelewi nini hapo my sweet avatar?

Noo tatizo ni kwamba..... tulikuwa naye kambi ya upinzani kama sikosei....
sasa nashangaa chama tawala amekuja lini.....
 
Bado nipo kwenye nafasi za uongozi
Mie nafaa zaidi kuwa boss wa mweka hazina yaani kila anapotoa hela benki au kokote kule anapitisha kwangu kwa kuzikagua na kuzihesabu na kumpangia aanze lini kuzitumia na kiasi gani.

Nadhani hoja hapa ya infidelity ni muruwa pia tukaangalia angle ya waathirika na hiyo kitu ambao wanajua kinachoendelea kwa mwenzake lakini hana kauli.
Mie nimeoa na ninajitahidi kwa sehemu kukomaza skills mchangani na mpaka sasa wifey hajagundua kitu (msinijadili).
 
mbona unashtuka? au unataka tumit pale zero/why not if not?
naomba ujibu hiyo piemu yangu basi!.....
naona mimi na wewe ni kama ''OODIEMU-NA-WAHUDUMU WA KAUNTA''
 
AHSANTE SANA MSANII!.....
wewe ni infidelator wa ukweli kabisa
na ninakuhakikishia HATUTAKUJADILI!
 
Noo tatizo ni kwamba..... tulikuwa naye kambi moja kama sikosei....
sasa nashangaa chama tawala amekuja lini.....


kambi moja ndio, ya wajumbe wanaounga mkono hoja kwa 100% kama CCM! Sasa unachoshangaa ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…