Dreamliner
JF-Expert Member
- Jan 17, 2010
- 2,034
- 214
Fanya kazi yako katibu!!
Katibuuuuu....ajenda inayofuata?
Jamani nipo field but am monitoring closely
In fact kuna watu wanapiga makelele kelele,,,,,Smiles hebu mwone mweka hazina Asprin akupe NAULI ukamwone 'uncle' Msanii ana ujumbe wako....
Wengine ongeeni kwa hishma. Halafu MJ1 mbona hajafika leo?:confused2:
Chairperson upo kumbe....unlikua una-monitor kwa remote control sio??
Jamani nipo field but am monitoring closely
In fact kuna watu wanapiga makelele kelele,,,,,Smiles hebu mwone mweka hazina Asprin akupe NAULI ukamwone 'uncle' Msanii ana ujumbe wako....
Wengine ongeeni kwa hishma. Halafu MJ1 mbona hajafika leo?:confused2:
I have definetely given up on youwell hapa haitakiwi kuongea sana,ni kuzishusha tu kama ifuatavyo:
1-INFIDELATORS wanatakiwa kugharamia kikao cha kwanza wanapokutana na infideletees wapya kwa asilimia 100
2-INFIDELATORS/INFIDELETEES wanatakiwa kufanya wanaloliweza kuhakikisha hakuna leakage ya taarifa yoyote ya INFIDELITY juu yako kwenye familia zao(hasa hasa wake/waume zao waliowaacha nyumbani)
4-INFIDELATORS/INFIDELEETES wanatakiwa kushea-KIZURI KULA NA NDUGUYO!(hii sheria ni muhimu sana).ukimpata infideletee anaejituma sana gesti muhabarishe na mwenzio akamfaidi.SHARING IS CARING-KUGAWANA NI KUJALI
5-INFIDELATORS/INFIDELETEES wanapaswa kuwa na umri wa watu wazima(18+.....!hii ilikuwa sababu pekee ya kumtoa georgieporjie kwenye uanachama)
6-INFIDELATORS/INFIDELETEES lazima wawe wanapandisha mvinyo kwa wingi (unywaji wa valuu una ''added advantage'')
7-INFIDELATORS/INFIDELETEES lazima awe na ''defined-marital status'',lazima awe ameoa/ameolewa (huwezi kufanya infidelity wakati wewe hujaoa-hapo unakuwa unafanya zinaa tu!...infidelity kwa ujumla wake lazima kwanza uoe/uolewe:eyebrows::eyebrows::eyebrows:!samahani kama nawakwaza hapa ndugu zangu).
8-KWAKUZINGATIA SHERIA NAMBA 7 TAJWA HAPO JUU-infidelators watakaoingia kwenye NEC ni wale waliooa/olewa tu!wengine hao wanakuwa members tu kwasababu tunawajali sana zaidi ya hapo HAWANA KURA YA VETO
9-INFIDELATORS/INFIDELETEES watahakikisha wanapigana kufa na kupona kuzilinda na kuzitetea ndoa za infidelators/infideletees wenzao!(ndoa na iheshimiwe na watu wote).naomba hii sheria muiangalie kwa umakini mkuu!hakikisha kufa kupona unafanya unaloweza kuhakikisha ndoa ya mwanachama haitetereki.
10-INFIDELITY itafanyika NYUMBA ZA KULALA WAGENI TU!....tena itafanyika kilometa kadhaa kutoka maeneo yako ya nyumbani(otherwise unatakiwa uproove kwamba mkeo/mumeo kasafiri umbali usio pungua kilometa mia saba kutoka nyumbani kwenu).
11-INFIDELITY KAMWE HAIFANYIKI USIKU KUCHA-fanya unalofanya lakini make sure umerudi nyumbani kwa waif/husband.ukilifanya hili utakuwa umeheshimu na kuitekeleza sheria namba 7 na namba 9 tajwa hapo juu
12-INFIDELITY IS THERE TO STAY....!kwanini?kwasababu infidelity ni tiba ya KANSA YA KIBOFU!hapa pana mjadala mzito kidogo ingawa hauhitaji journals!
ngoja nikimbie gesti hapo msasani nika-du ze nidiful then nitarudi!
kwa anaetaka katiba ya ''infidelity'' au kadi ya uanachama anipiemu tu......
Typical "i cant" you either.Sheria no 15: Kagua andawea uliyovaa kabla hujatoka kwenye infidelity room. Ni KOSA LA JINAI kwa infideletaz/infideleez kurudi nyumbani akiwa amevaa andawea ya mgombea mwenza. Futa msg, call logs zote kwenye simu kabla hujagonga mlango unaporudi kwa mwanandoa mwenzio. Hakikisha unaweka call barring kabla hujalala! Security codes ni MARUFUKU kwa kuwa zinaweza kuleta mashaka.
The Following User Says Thank You to Dark City For This Useful Post:Kweli hapa ni kazi na dawa.
Ila mhhh, ....kupambana na infedelity ni sawa na kusoka kamba kama unataka kuwaiga ndugu zangu wa kule sehemu sehemu (Sorry Teamo and Co).
Msiwe na wasiwasi, ma-retired Generals tuko wengi, tutawasaidia ushauri na maujanja ya porini. Play safe be safe.
Ila mara moja moja mkumbuke kuomba ili maisha yaendelee baada ya kumalizana na adui infii!!
DC
Mwalimu somo la leo nimejifunza mengi sana ila nina swali moja
Hivi hiyo infidelity ambayo unatufundisha mwalimu wangu inatakiwa iishe baada ya muda gani? kwa sababu umesema moja ya kanuni ni kuwa unatakiwa ushee na nduguyo/rafiki so ina maanisha unainfidelize then unamgawa halafu watafuta infedelitee mwingine au??
Somo la leo gumu kweli:confused2::confused2::confused2:
Mwalimu somo la leo nimejifunza mengi sana ila nina swali moja
Hivi hiyo infidelity ambayo unatufundisha mwalimu wangu inatakiwa iishe baada ya muda gani? kwa sababu umesema moja ya kanuni ni kuwa unatakiwa ushee na nduguyo/rafiki so ina maanisha unainfidelize then unamgawa halafu watafuta infedelitee mwingine au??
Somo la leo gumu kweli:confused2::confused2::confused2:
Mhuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu ndo ningia ukumbini..............hebu nipitie hizi kurasa!
Lakini mwaweza niweka kweny baraza la udhamini...............sijui lipo?
Mjukuu, kwanza hebu ongeza idadi hapa ndio tukufafanulie somo vizuri::
[/SIZE][/INDENT]
The Finest............ nasubiri maana somo linaniingia taratibu kweli sijui ni VALUU!!!MJ1 mimi namalizia research zangu nitakuja na majibu ya maswali yako kwakuwa mimi na lecturer wangu ASPRIN hatuna mambo ya desa yaani unatumia brain yako mwenyewe
The Finest............ nasubiri maana somo linaniingia taratibu kweli sijui ni VALUU!!!