Zijue sheria ''mama' za infidelity...

Hivi threesome inakubalika kwenye infidelity?
Mkuu unaulizia ulimi mdomoni? Ila tu inafanyika kwa mtindo wa kupasiana, kama rule namba tatu inavyotutaka.... papo kwa papo wanachama wanaweza kuangamizana lol!
 
Babu nafasi za upendeleo mie ndo sitaki Babu.... kwanza we mwenyewe ulinifundishaga kuwa mtoto wa kike lazima agangamale... leo unakiuka??
Sijageuka, si ndio maana nimekupendelea kwa kukukabidhi kwa viongozi waandamizi! Ili wakulee kwa maadili!
 
Mkuu unaulizia ulimi mdomoni? Ila tu inafanyika kwa mtindo wa kupasiana, kama rule namba tatu inavyotutaka.... papo kwa papo wanachama wanaweza kuangamizana lol!

Hakuna gombani goli tunakuwa tunacheza pasi fupi fupi hadi golini.
 
Usirudi tena hapa mtumishi....usirudi tena.....na usipende kuelewa...ilikua ni diskashen ya uchaguzi....ukizingatia nyie watumishi hamtakiwi kuchanganya kazi zenu na siasa...

:confused2::confused2: Seems like I am not a CITIZEN...:mad2:

:mmph::A S-frusty::angry:... Ze Finest... Unahitaji Maombi ya nyumba kwa nyumba, mtu kwa mtu na shuka kwa shuka....:amen:

Mwenyikiti usijali nimempa Baba Askofu waraka wetu na mwongozo kwahiyo natumaini ataelewa tu

:nono::nono::nono::nono:

Askofu

Chapa sala na mafungo wiki tatu tu na utapata ufunuo wa haya yanayoendelea

Kunguru kanyea manati

Hata wewe??...:confused2::A S-eek:
 
Karibu kwenye kikao mwisho wa wiki hii wafuatao watafurahi sana wakikuona na wata thamini uwepo wako.

ACID, ASPRIN, KAIZER, TEAMO, BEAUTY, BIGIRITA, FIDEL80, kama wengine nimewasahau naomba wajiongeze kwenye hiyo list kwa ajili ya kumkaribisha Baba Askofu
 
Karibu kwenye kikao mwisho wa wiki hii wafuatao watafurahi sana wakikuona na wata thamini uwepo wako.

ACID, SMILES, ASPRIN, KAIZER, TEAMO, BEAUTY, BIGIRITA, FIDEL80, kama wengine nimewasahau naomba wajiongeze kwenye hiyo list kwa ajili ya kumkaribisha Baba Askofu
 
Ze Finest, kabla ya kikao cha mwisho naomba nifanye maombi na wewe... , hayo niliyoeleza hapo juu... nimepata maono kwamba nikifanya maombi na wewe hata club members wengine watapata upako... Thru You... Did I hear anyone say AAMEN!!!
 
Hivi huyu ni baba askofu? hawezi kuwa mjomba askofu, mama askofu, babu askofu au infii askofu?
 
Ze Finest, kabla ya kikao cha mwisho naomba nifanye maombi na wewe... , hayo niliyoeleza hapo juu... nimepata maono kwamba nikifanya maombi na wewe hata club members wengine watapata upako... Thru You... Did I hear anyone say AAMEN!!!

Baba Askofu hapo kwenye red sheria ya chama changu inasema siwezi kufanyiwa maombi kwa kuwa tayari niliishafanyiwa wakati naingia kwenye chama halafu unakumbuka jana baada ya mimi kukuacha pale Breakpoint Bar na Eliza leo kanipigia simu kasema anaomba usikose kwenda tena amefurahi huduma yako.
 
ABOMINATION OOH... ABOMINATION.... :mad2::mad2:

Askofu samehe saba mara sabini tuliambiwa hivyo vipi kwako wewe mbona unakuwa mgumu na wenye hasira ama nikupatie valuer ushushe pumzi kidogo
 
Eliza alishapata huduma yake... amempokea Mwokozi, bado wewe...

Hii imekaa kikazi zaidi inafaa

Washakubemenda jamani... Maombi bado muhimu kwako mpendwa... sitaki kuona unapotea...

Hasira ni mama wa dhambi Askofu......!
Tulifundishwaga kwamba hasira ni kati ya vichwa vya dhambi....

Vichwa vingine nya dhambi ni vipi??
 
Baba Askofu utanikuta mapema leo nimeishafanya maandalizi yote ya kikao ila uwahi tu Serengeti zako zisije zikaisha mapema
 
Askofu samehe saba mara sabini tuliambiwa hivyo vipi kwako wewe mbona unakuwa mgumu na wenye hasira ama nikupatie valuer ushushe pumzi kidogo

Nishasamehe.... Nimepata pegi ya Divai hapa... Asante sana kwa kunijali...:smile-big:
 
Baba Askofu utanikuta mapema leo nimeishafanya maandalizi yote ya kikao ila uwahi tu Serengeti zako zisije zikaisha mapema

Divai itafaa zaidi,.... wasiliana na Teamo atakwambia natumia Divai aina gani, inapatikana Mohans Masaki
 
Divai itafaa zaidi,.... wasiliana na Teamo atakwambia natumia Divai aina gani, inapatikana Mohans Masaki

Mohans niliwauliza wakakataa wakasema hawauzi walinionyesha risiti ya boksi la chupa za valuer ulizonunua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…