The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
duh... hii kali,
Naomba kushauri bodi ianzishe vitengo vifuatavyo
capacity building and enrollment unit
kitengo cha logistics na information sharing:eek2:
Kabla ya kumpa hizo habari mpwa ungejaribu kutafuta daktari wa magonjwa ya moyo amfanyie uchunguzi maana wanawake wakipewa habari hizi wanakuwa mbogo wewe si umeona ndugu yake nyamayao revenge yake baada ya jamaa yake kukamatwa kizembe kwenye suala la INFIDELITY
Askofu mbona unakasirika wakati huwa unasaidia kwenye maombi
Askofu na masista kibao nao ni wanachama wetu!!
Infidelity Social Club; August 2010 Journal page 23-26.Wewe Ze Finest wewe......... am woning u ooh!! Nafanya maombi kumaliza infidelity... subiri tu, mtashanaa baiolojia zimekufa ganzi...:mad2:
Source pliz
Smiles nilikuwa sijanotice vizuri kumbe na wewe ni mjumbe wa bodi
Umesahau sheria namba 13: Mara baada ya kufanya infidelity hakikisha UNAOGA na sabuni zisizotoa harufu- vile visabuni vya gesti kama GIV ni MARUFUKU kutumika baada ya infidelity
Secrecy/ Usiri wa hali ya juu– Do you leave out details of your day because they include spending time with the person you are attracted to? Do you lie to your spouse about this person? ....hi inatokea sana hasa maeneo ya ajira
sijui hii ni sheria no ngapi, kwani naskia wanachama wengi wanaofanya kazi utumia lunch time kwenda kumaliza kila kitu, na ifikapo saa 12 jioni wapo majumbani mwao.
ni nini vile?Hiyo sio sheria bana.......
Kwa hiyo ni vyema kama uko kwenye ndoa utarajie mwenzako kutoka nje ya ndoa yenu. Na hii ni kwa wote, wake na waume. Mke tarajia mumeo kumega nje na mume utarajie mkeo kumegwa nje.
Sasa kama wewe huwezi kuhimili adha za kadhia ya mwenzako nje ya ndoa yenu basi nakushauri usioe au kuolewa. Kama kwako hilo si jambo kubwa sana basi jua kuwa kuna wakati litakutokea tu. Likitokea unaweza ujue ama usijue, lakini kaa ukijua kuwa haliepukiki.
Inavyosemekana idadi kubwa ya watu wana mtu wampendaye wanapofanyia kazi. Na ukitaka umle demu ambaye ni mke wa mtu au demu wa mtu, kama unafanya naye kazi wewe msikilize tu kila atakacholalamika kwako kuhusu uhusiano wake. Usimbishie wala usimkosoe wala kumpa ushauri. Kubaliana naye kila kitu.
Mwisho wa siku atajenga emotional attachment kwako na utamla kama unalia vile. Na ndio maana cases nyingi za infidelity hutokea makazini kwa sababu watu wana spend muda mwingi sana pamoja hadi kuruhusu maongezi ambayo ni ya ziada.
Infidelity is inevitable. I know it is sad but it's the cold hard truth.
kwahiyo wewe unakubaliana na suala la mkeo kumegwa nje......? :confused2:
kwahiyo wewe unakubaliana na suala la mkeo kumegwa nje......? :confused2:
Well said NN it is true kabisa it does happen.