Zijue sheria ''mama' za infidelity...

As said nilikuwa kwenye maombi mazito ya kupinga katiba ya Teamo and Team but am back now

everything ok??

Najua uko kambi ya upinzani but I still believe kuna wajumbe tutawatuma inorder to get you lured to come back to chama tawala
 
hehehehe!
umesomeka mwanachama wetu mwaminifu!
ngoja nimpigie meneja wa MAHABA BEACH pale boko nione inakuwaje...!
just now....
okay okay simu inaita sasa...............
hivi yule Rasta ndio meneja pale? nae kama memba wa infidelity vile!!
 
Mkuu

Nami ni mjumbe katika Kamati. Naona ulinisahau kwa bahati mbaya.

samahani kamanda....unanidai valuu, safari wota na pepsi moja kama fidia ya usumbufu wowote uliojitokeza! ofkoz na infidelee mmoja niliyemtelekeza...Usisahau KIZURI KULA NA INFII MWENZIO!
 
hivi yule Rasta ndio meneja pale? nae kama memba wa infidelity vile!!

?????????????:confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2:
 
safi sana katibu, hakikisha gesti zina upepo wa kutosha na mwanana ikiambatana na hali ya hewa ya kuridhisha tafadhali.

Duh.... sasa which side are u...?
Mmmh....:confused2:
 

Nita du ze nidful vilivyo ili kuongeza idadi ya wanachama kuanzia kwenye shina na kuendelea hadi kwenye kata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…