Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulivyo na Giza, unadhani dhamana ya mkopo Wa azam ni kama Wa masikin wenzio wanao weka nyumba zao za kuishi!Hakuna tofauti kati ya deni la Azam na Bhakresa,kama mwenyekampuni yy ndo anaweka dhamana bank kupata mkopo
Exactly'.... Mtu mwenye akili timamu hawezi kukopa afu huo mkopo akafanyia kitu ambacho kitamnufaisha yeye kama yeye lakini kisirudishe hata asilimia 50 ya mkopo'... Unapokopa mkopo ambao unatarajia kuurudisha, unauchukulia nafasi mbili, yaan mtaji ukuletee faida na pili mkopo lazima ulipe deni...ivo ni lazima ufanyie kitu cha kurudisha faida na kukupa uwezo wa kulipa deni.Hili jukwaa waachie wanauchumi wachangie!
Ukope benki then ukajenge nyumba ya kuishi kiuchumi utakuwa na akili timamu kweli?