Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Anesthesiologist ni daktari bingwa anayetoa huduma ya kufanya mgonjwa asikia maumizo wakati anatibiwa, hasa wakati wa operation. Kwa marekani ni lazima awe na digrii ya MD au DO. Kuna mambo mengi wanayofanya ikiwamo sedation, anesthesia, au regional anesthesia. Ukiangalia mishahara ya madaktari bingwa, huyu ni kati ya wanaolipwa vizuri kwa marekani - madaktari wote marekani wanalipwa vizuri sana.
leo nimesoma Tangazo hili hapa chini nikashangaa sana sifa za mtu anyeweza kufanya kazi za Anesthesiologist tanzania, nikasema vipi awe na sifa ya chini namna hiyo.
Dawa zinazotumiwa na Anesthesiologists ndizo zinazotumiwa kunyonga wafungwa kwa lethal injection, ina maana akikosea mgonjwa anaweza asiamke. Je walikuwa naa maana kweli ya kufanya anesthesia au ni maana ndogo zaidi ya hiyo niliyoelewa.