Zijue sifa za mashine za kukausha dagaa

Drying machine

New Member
Joined
Jan 13, 2020
Posts
3
Reaction score
2
1: Wataweza kukopesheka bank sababu biashara yao itakuwa ya uhakika.
2: Wataweza kuongeza kipato zaidi ya Sasa.
3: Wataepuka hasara zitokanazo na dagaa kuoza, kuliwa na ndege na wadudu wengine.
4: Dagaa watakuwa na ubora wa Hali ya juu na kuwawezesha wavuvi kuuza dagaa wao ata soko la ulaya.
5: Dagaa hawatakuwa na mchanga Wala uchafu wa Aina yoyote.
6: Mvuvi hatotegemea jua ili kukausha dagaa wake.
7: Serikari itaongeza mapato kutoka kwenye sector ya uvuvi.
8: Wavuvi Wataweza kujipangia Bei na sio wanunuzi kutoka nje kujipangia Bei wao. nk



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umepiga porojo mpaka umesahau kuweka bei, location na mawasiliano.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bei wapi wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…