GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Ukilala tumbo linaangalia darini ni dalili kwamba Wewe ni Mwerevu sana na utakuwa na mafanikio makubwa sana maishani mwako
- Ukilala kwa kulilalia tumbo ni dalili kwamba huna akili halafu utakuwa unaugua ugua sana katika maisha yako
- Ukilala Kiupande kwa kupenda sana kuangalia mkono wako wa Kulia ni dalili kwamba una Mawazo mengi ambayo hayatatuliki
- Ukilala Kiupande kwa kupenda sana kuangalia mkono wako wa Kushoto ni dalili kwamba maisha yako mengi yatakuwa na Mikosi sana na Umasikini hautakutoka katika maisha yako ya kila siku
Nawasilisha.