GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Utafiti mwingine bhana, akili mu kichwa mwako
Mh!!!! Nabadilisha ulalaji
Ovyo kabisa humu ndani.me nalalia tumbo na mgongo.mbona silii shida.pigeni Kazi acheni ushirikinaJitathmini mwenyewe ulalaji wako tokea mdogo hadi sasa kisha fananisha na hapo juu utupe mrejesho wako tafadhali.
- Ukilala tumbo linaangalia darini ni dalili kwamba Wewe ni Mwerevu sana na utakuwa na mafanikio makubwa sana maishani mwako
- Ukilala kwa kulilalia tumbo ni dalili kwamba huna akili halafu utakuwa unaugua ugua sana katika maisha yako
- Ukilala Kiupande kwa kupenda sana kuangalia mkono wako wa Kulia ni dalili kwamba una Mawazo mengi ambayo hayatatuliki
- Ukilala Kiupande kwa kupenda sana kuangalia mkono wako wa Kushoto ni dalili kwamba maisha yako mengi yatakuwa na Mikosi sana na Umasikini hautakutoka katika maisha yako ya kila siku
Nawasilisha.
Ovyo kabisa humu ndani.me nalalia tumbo na mgongo.mbona silii shida.pigeni Kazi acheni ushirikina
Hivi ukiwa umelala ubavu kama 3&4, huo upande wa kushoto au kulia unakuwa upande gani?Jitathmini mwenyewe ulalaji wako tokea mdogo hadi sasa kisha fananisha na hapo juu utupe mrejesho wako tafadhali.
- Ukilala tumbo linaangalia darini ni dalili kwamba Wewe ni Mwerevu sana na utakuwa na mafanikio makubwa sana maishani mwako
- Ukilala kwa kulilalia tumbo ni dalili kwamba huna akili halafu utakuwa unaugua ugua sana katika maisha yako
- Ukilala Kiupande kwa kupenda sana kuangalia mkono wako wa Kulia ni dalili kwamba una Mawazo mengi ambayo hayatatuliki
- Ukilala Kiupande kwa kupenda sana kuangalia mkono wako wa Kushoto ni dalili kwamba maisha yako mengi yatakuwa na Mikosi sana na Umasikini hautakutoka katika maisha yako ya kila siku
Nawasilisha.
Hata hivyo Research huwa haina 100% correct na kwa bahati nzuri hata utafiti huu ni wa 98.9% tu hivyo yawezekana Bwege Nazi Wewe ndiyo umebahatisha kuwemo katika hiyo 1.1% iliyobaki hivyo sioni haja ya Wewe kuanza Kupovuka hivi kama Ng'ombe Jike anayetaka Kupandwa / Kubaiolojiwa na Dume.
Ila ujue me shemeji yako mkuu.nimchukua dada yako huko Mara .sasa siku nikija usisite kutukaribisha.ila rangi yake black na utulivu wake napata amani.bwashee karibu arusha
Hahaaaaaa ila ndio hivyo December nitakuja kukusalimia shemeji yanguHuyo Dada yangu nae kapotea njia kweli Kwako.