Toboamambo
Member
- Sep 16, 2007
- 26
- 5
Ukweli ila ungekuwa na njia ya ku2saidia ingekuwa bomba ena mkazuzu,ila poa saaana kwa ku2amsha,usikonde we are 2gether1. Hupenda kwenda baa na kumbi za starehe kuliko Lecture na Semina.
2. Hushinda room kuliko Library.
3. Hufahamu mitindi ya mavazi kuliko Module.
4. Huogopa CARRY,SUP na DISCO kuliko dhambi.
5. Hufahamu waziri wa mikopo kuliko wahadhiri.
6. Huudhulia birthdays,harusi na starehe weekend kuliko Ibada.
7. Hutoa zawadi kubwa kwa boyfriend au girlfriend kuliko kwa yatima na wajane.
8. Hulinda ATM Cards na PENZI kuliko DESA na VITABU.
9. Wapo makini na ratiba ya BOOM kuliko UE.
10. Wanapenda haki ila wengi ni waoga wa kuzidai.
Ni ukweli uliopitiliza( it is more than the truth itself). Na ndio viongozi wetu wa kesho
Kuna kipindi Mabibo hostel iliongoza kwa tuhuma za vitendo vya ngono baina ya wanachuo kwa wanachuo na wanachuo na watu wa nje. Baada ya kuishi Mabibo Hostel kwa miaka miine mfululizo, nikagundua tuhuma hizo sio za kweli, ila Mabibo ilionekana sana kwa sababu ya geti moja tuu la kuingilia na halls zote ziko mahali pamoja hivyo kupelekea kuonekana sana kwa pilika za malove dove wakati Main Campus ndio imekua ikiongoza ila kwa vile halls ziko mbalimbali na mageti kibao, pilika hizi hazikuonekana kwa karibu.