antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Maajabu haya..Binafsi nimeruhusiwa kuandika haya na wakubwa wa koo ya kisimba. Bila hivyo nisingethubutu.
Ndio.Maajabu haya..
Kwa hiyo wewe ni wa ukoo huo wa kisimba?
Unatambuaje kama upo ukoo huo?Ndio.
Kweli. Mengi sana.Bado Kuna mengi sana hatujayafaham katika huu Ulimwengu.
Kweli. Mengi sana.Bado Kuna mengi sana hatujayafaham katika huu Ulimwengu.
Kama huna ibada za mizimu huwezi kujua labda uambiwe au mizimu ikuambie,Unatambuaje kama upo ukoo huo?
Ukute na wengine tumo ila hatujui
Kuna uwezekano huo. Simba wenye hadhi (rank) watakutambua kama ni mwenzao.Unatambuaje kama upo ukoo huo?
Ukute na wengine tumo ila hatujui
Hizo sizijui.Na koo za Mapunda je
Siifahamu, lakini ukiusoma huu uzi utaunganisha dots.What about Lions Order ya rohan Marley? Ebu ielezee
Kama ni simba utajielewa tu wakati ukifika.Mimi ndo hata sielewi .....
Sijui ni kisimba mdogo ...au rafiki wa koo za Simba au sipo kabisaaaa....
Ukiusoma huu uzi utaunganisha dots. Sio kila mwenye jina simba basi ni wa ukoo wa simba, kukiwa kuna mwizi au jambazi hapo elewa kua huyo si ukoo wa simba alijipachika jina tu.Simbachawene
Simbaulanga
Simbayamsimbazi.
Simbaleo
Hizo zote ni dalili tosha kua huo ni ukoo wa kisimba kimizimu yao.Nimewahi kufanya kazi na ukoo wa simba (Leo) wa Scandnavia;
1. Ni wakali sana
2. Wana misimamo mikali
3. Wanazaana sana
4. Nibwaaminifu katika mahusiano.
5. Ni matajiri sana
6. Wanachapa kazi hatari
7. Wana akili sana
Nimepiga kazi nao zaidi ya miaka 12.Hizo zote ni dalili tosha kua huo ni ukoo wa kisimba kimizimu yao.
Ni waaminifu hata katika kazi zao sio mahusiano tu. Na kama walikukubalia uwe karibu yao basi na wewe una ukoo wa kisimba au ni ukoo marafiki wa simba, kimizimu ya kwenu.
Waulize kwenu, una mizimu ya Kisimba au marafiki za simba. No doubt.Nimepiga kazi nao zaidi ya miaka 12.
Watu walikuwa hawamalizi mwezi kufanya kazi nao walivyo na misimamo na wakali..
Walikuwa na kampuni ya kifamilia Mkurugenzi mkuu yaani baba yao alinikubali sana kuliko hata watoto wake na jamaa au ndg zake.
Kuna jambo lipo lkn sio mizimuWaulize kwenu, una mizimu ya Kisimba au marafiki za simba. No doubt.
Nilikuja kugundua kuwa mimi ni koo hizi unazozielezea miaka10 iliyopita.nilipoenda urambo kwa bibi,mana ilikuwa kila siku jioni saa12 na asubuhi saa12 nimuone simba dume mkubwa sana ikawa kila nikimwambia kakangu ananibishia ikabidi nimweleze bibi mana nilikuwa staki tena kukaa kule ndipo bibi akamwita baba mdogo akanwambia mbele yangu vile ulivyoagizwa ulifanya umeona sasa mtoto anamwona babu yake mara kwa mara ikabidi wanipeleke makaburini na kunipeleka kwenye madame ya babu huko maporini nikashangaa kukuta gorofa kuu kuu,nikafanyiwa matambiko kana yote.bibi akasema hii nyumba alijenga babu yako kipindi anafanya kazi kwenye Jeshi la wajerumani Kabla hawajaondolewa na mwingereza akaendelea bobi akasema hata Jina nalotumia ni la rafiki wa babu alikuwa mjerumanKoo za kisimba sio chama au taasisi, watu wa koo za simba wapo kibinadam kwenye taasisi na vyama mbali mbali. Na ukiwa kwenye yenye koo yenye matatizo na koo za kisimba kiasili, utaandamwa ukoo wako maisha, ile muwe duni tu. Au ukianzisha ugomvi na koo ya kisimba kwa uchawi, utapigwa vita vibaya sana.
Simba hawana uchawi wala ushirikina lakini ulianzisha nao, utajuta kuzaliwa. Ni koo zanye nguvu sana kimizimu (kiruhani).