Kwa wale wanaopiga mishe na awamu hii watakuwa mashuhuda mfumo wa malipo zikienda huko hazirudi huku hii ni mara 3 au zaid
Shida nini?
Lakini tumeona hata kwa wafanya kazi mwezi uliopita mambo yalichelewa sana
Sasa sijui ndo yale mav8 yamekomba au ndo sijui bandarini inaenda uarabuni na meli ya mizigo? Sijui