Ziko wapi faida za Bomba la TAZAMA kwa Tanzania?

Midimay

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2015
Posts
3,086
Reaction score
5,143
Habari za hapa wakuu.

Leo nimekuja na hili la Bomba la TAZAMA.

Sijawahi kusikia likitoa nafasi za ajira kwa Watanzania au hata kwa wasio Watanzania.
Sijawahi kusikia likitoa gawio kwa serikali. Sijawahi kusikia likitangaza hasara. Sijawahi bajeti yake.

Tunapata faida gani kama Taifa kwa hili Bomba kukatiza katika ardhi yetu?
 


 
Ofisi zao ziko wapi DSM? Au Songwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…