Dumbuya
JF-Expert Member
- Jan 23, 2014
- 596
- 878
Wanajamvi,
Katika sikia sikia zangu za sera na ahadi mbalimbali za wagombea katika uchaguzi wa mwaka huu ; kundi moja kubwa la "Wafanyakazi" (Umma na Binafsi) ambao ni walipa kodi wa uhakika hapa nchini ni kama limesahaulika au halijapewa kipaumbele kabisa.
Wapi sera zinazohusu kero za wafanyakazi toka kwa wagombea wetu wakuu?
- Pensheni na mafao mbalimbali
- Mifumo ya ajira
- Makato ya Kodi
- Kima cha chini cha mshahara
- Nyongeza ya mishahara
Wapi nguvu ya wafanyakazi katika taifa hili au ndo tumekubaliana kuwa ajira ni [emoji706]
Dumbuya.