Wafanyakazi tunaimani na Dr Magufuli, anatufanyia mambo mazuri
Kiongozi ambaye hajali sheria na haki za watu hafai kuwa kiongozi.Wanajamvi,
Katika sikia sikia zangu za sera na ahadi mbalimbali za wagombea katika uchaguzi wa mwaka huu ; kundi moja kubwa la "Wafanyakazi" (Umma na Binafsi) ambao ni walipa kodi wa uhakika hapa nchini ni kama limesahaulika au halijapewa kipaumbele kabisa.
Wapi sera zinazohusu kero za wafanyakazi toka kwa wagombea wetu wakuu ??
- Pensheni na mafao mbalimbali
- Mifumo ya ajira
- Makato ya Kodi
- Kima cha chini cha mshahara
- Nyongeza ya mishahara
Wapi nguvu ya wafanyakazi katika taifa hili au ndo tumekubaliana kuwa ajira ni [emoji706]
Dumbuya.
Afadhari hata zanzibar Mwinyi amewaahidi kuongeza mishahara halafu magufuli bila aibu jana amempongeza Sheini kwa kuongea mshahara kwa wafanyakazi wa zanzibar kweli wewe mzee kosa tulilokukosea wafanyakazi ni kubwa kiasi gani,umefunga uhamisho,hutaki kuboresha mishahara na kuboresha maslahi ya watumishi ili hali unajua maisha yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo mazuri yapi!?Wafanyakazi tunaimani na Dr Magufuli, anatufanyia mambo mazuri
Kama baba mwenye nyumba ananyanyasa wapangaji, unadhan jirani atafanyaje. Kiukweli hayo siyo kipaumbele cha hawa viongozi wetu hasa chama tawala.Wanajamvi,
Katika sikia sikia zangu za sera na ahadi mbalimbali za wagombea katika uchaguzi wa mwaka huu ; kundi moja kubwa la "Wafanyakazi" (Umma na Binafsi) ambao ni walipa kodi wa uhakika hapa nchini ni kama limesahaulika au halijapewa kipaumbele kabisa.
Wapi sera zinazohusu kero za wafanyakazi toka kwa wagombea wetu wakuu ??
- Pensheni na mafao mbalimbali
- Mifumo ya ajira
- Makato ya Kodi
- Kima cha chini cha mshahara
- Nyongeza ya mishahara
Wapi nguvu ya wafanyakazi katika taifa hili au ndo tumekubaliana kuwa ajira ni [emoji706]
Dumbuya.
Ni wakati muafaka kwa watumishi kutumia haki yao ya msingi ipasavyo sababu serikali haiwahitaji tena watumishi kwani hawana mchango kwa nchi ndo maana hawapandi vyeo,hawana nyongeza za mishahara,hawana posho ya aina yoyote,kikokotoo Cha pensheni ni changamoto.wasifanye makosa tena inawagharimu milele.Wanajamvi,