Elections 2010 ziko wapi shilingi 300@lt ya mafuta za ZAKIA

Elections 2010 ziko wapi shilingi 300@lt ya mafuta za ZAKIA

liganga4

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2010
Posts
293
Reaction score
195
mkuu wa kaya ame ahidi kwenye kampeni kanda ya ziwa kuwa kuna barabara itajengwa
kwa msaada wa serikaili ya marekani, ziko wapi tsh 300 kwa lt ya mafuta zilizoingizwa kwenye bajeti ya zakia ujenzi wa barabar ? barabara ngapi zimejengwa kwa fedha hizo?
 
Back
Top Bottom