mkuu wa kaya ame ahidi kwenye kampeni kanda ya ziwa kuwa kuna barabara itajengwa
kwa msaada wa serikaili ya marekani, ziko wapi tsh 300 kwa lt ya mafuta zilizoingizwa kwenye bajeti ya zakia ujenzi wa barabar ? barabara ngapi zimejengwa kwa fedha hizo?