mr. over view
Member
- Jan 3, 2014
- 14
- 0
hivi punde tumeshuhudia matokeo ya mitihani ya kidato cha sita lakin cha kushangaza ndani ya shule kumi bora, shule za vipaji maalum hazionekani na zaidi ya hayo tumeshuhudia uwepo wa shule ya kata ndani ya kumi bora [kisimiri]. Je hi ni kuonyesha kwamb vipaji kwa sasa vipo kata?

Zipo mbili kwenye top ten:
KIBAHA na KISIMIRI.
Lingine?
hivi punde tumeshuhudia matokeo ya mitihani ya kidato cha sita lakin cha kushangaza ndani ya shule kumi bora, shule za vipaji maalum hazionekani na zaidi ya hayo tumeshuhudia uwepo wa shule ya kata ndani ya kumi bora [kisimiri]. Je hi ni kuonyesha kwamb vipaji kwa sasa vipo kata?
Ile ya kwanza ina jina la kihehe nayo ni ya vipaji?..just being curious
hivi punde tumeshuhudia matokeo ya mitihani ya kidato cha sita lakin cha kushangaza ndani ya shule kumi bora, shule za vipaji maalum hazionekani na zaidi ya hayo tumeshuhudia uwepo wa shule ya kata ndani ya kumi bora [kisimiri]. Je hi ni kuonyesha kwamb vipaji kwa sasa vipo kata?
Ivi Tanzania kuna shule za vipaji maalumu? na kama zipo wana vipaji gani hasa? kuimba, mpira, riadha, kucheza au vipaji gani hasa?
Kimsingi Shule hizi serekeli ilishazifuta, hasa pale waziri mwenye dhamana aliposema kuendelea kuwepo kwa shule za wanafunzi wenye vipaji maalumu ni ukiukwaji wa haki za binadamu na uwekaji wa matabaka katika elimu, tena ni kukiuka misingi ya usawa katika jamii. Kilichopo sas ni ile asili ya kujituma, heshima ya shule iliyokwisha jiwekea toka zamani (yaani Historical background) na mazingira ya kimasomo ikiwemo asili ya kiushindani ndiyo vitu vinavyofanya kazi mpaka sasa. Ila wizara na serekali kimsingi ilishaachana na hizi shule ikiwemo Msalato, Kilakala na nyinginezo nyingi.
Nahisi vijana hawa wanastahili sana kupongezwa badala ya kubezwa hasa unapoanza kuyachambua matokeo haya kwa kina na kwa ki-mchepuo. hasa ukiangalia comment za ndugu yangu ng'wana onang'wa kulwa kama ifuatavyo:-
1.Kibaha watahaniwa 161,daraja la kwanza 82,la pili 59,la tatu 18,la nne 2 hakuna 0.
2.Mzumbe watahiniwa 125,daraja la kwanza 56,la pili 38,la tatu 29,la nne 2 hakuna 0.
3.Iliboru watahiniwa 150,daraja la kwanza 53,la pili 50,la tatu 44,la nne 3 hakuna 0.
4.Tabora wavulana watahiniwa 158,daraja la kwanza 49,la pili 62,la tatu 45,la nne 2 hakuna 0.