Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Nahitaji kufika hapo na hasa kuonana na CEO kwa lengo la kuteta kidogo kuhusu wimbo fulani mpya
Najua iko sinza ila eneo gani ndio sijajua.
Mwenye ufahamu tafadhali tujulishane
Najua iko sinza ila eneo gani ndio sijajua.
Mwenye ufahamu tafadhali tujulishane