That was just a foolish move to change the subject. Nayo ilibuma immediately!Kama kuna mtu yeyote anayo taarifa za muendelezo wa taarifa za huyu mwanajeshi wa Marekani. Zimepita siku nyingi sasa, amefikishwa mahakamani? Amefunguliwa mashataka yapi? Ameachiliwa?
Mbona hatukuambiwa chochote tena?
Sema huyu mwamba ana şura ya kinyakyusa sana, na hilo koti lake la soko la karume pale. anyway basi tu 😂
View attachment 3506470
CCM wana akili za ajabu sana aisee!That was just a foolish move to change the subject. Nayo ilibuma immediately!