Ziko wapi tena zile "updates" za Faiza Fox juu ya Hamas "wanavyowamaliza Mazayuni" wa IDF

The unpaid Seller

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2019
Posts
2,113
Reaction score
6,251
Peace,

Nimemiss sana sana zile updates za FaizaFoxy juu ya "wanaume Hamas" wanavyo wamaliza IDF pale Gaza.

Awali alianza kwa kuvpatia habari mpasuko (breaking news) jinsi Wanaume Hamas walivyoivamia Israel na kuteka mazayuni na mengine kuyaua huku akisimuliatkwa madaha, mbembwe na makidai ya jinsi Israel ni "hamna kitu"

Bimama huyu alikua anakuja na nyuzi matata utasikia

"Jeshi la waoga mazayuni linatumia drone ila wakitia mguu kwa ground ya Gaza watafyekwa wote kama kuku"

Ghafla tu mara IDF wakaivamia Gaza punde bimama akaja na updates

"Wanaume wa Hamas wamewatekekeza jeshi la mazayuni 3,000 kwa moto na mazayuni machache yamekimbia"

hatujakaa sawa tukaambiwa

"Jeshi la mazayuni nimefukuzwa Gaza na wanaume wa Hamass"

Hatujageuka kusikiliza vizuri tukaambiwa

"Mazayuni yameomba kusitishwa kwa vita kwa aibu yanayoipata toka kwa kipigo cha wanaume wa Hawass"

Hatujakaa vizuri mara tukaanza kusikia lawama

"Mazayuni yanaua bila huruma iko wapi jamii ya kimataifa"

Heee tukashangaa yamekua hayo tena kwa huyu huyu aliyekua anawasifia "wanaume wa Hamas" sasa itakumaje ngoja tusubiri tuone.

Mara bimama akatuambia
"Mazayuni yote yatafungwa jela na ardhi yote watakaa wapalestina wakilinda na wanaume Hamas"

Ghafla kimya,

kimya,

heee kwani imekuaje ?!

kimya

Sasa ni muda mrefu umepita na "chanzo chetu" kiko kimya tunakosa kabisa ule udambwi udambwi sijui tatizo liko wapi anaumwa ?! Au vita imeisha au mazayuni ndio yameuliwa yote.
 
bado kihoro cha kuondokewa na magufuli kinamkimbiza JF
 
Back
Top Bottom