Zile bia za nusu bei ziliuzwa wapi jana?

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2018
Posts
11,936
Reaction score
15,196
Mpaka kufikia kumwomba radhi mkuu wa nchi
bwana Makonda zile bia ziliuzwa wapi? nauliza hivi maana huku mitaani kwa mangi bei imendlea kuwa ileile
Viongozi acheni ghiriba kupitia biashara za watu.
 
Wtz tumeshaonekana kituko, wajinga wanatupeleka wanavyo taka.
 
Itakuwa ilikuwa kwa ajili ya wanakamati wa kuhamasisha tu huenda mkuu

Maana ingewezekanaje kwa maduka na bar za kawaida zishushe bei compensation yake ingekuwaje lakini pia upatikanaji wa data ungekuwaje ili wauzaji wafidiwe?

Hizo ni lugha tu zilitumika kuhamasisha watu wawe makini kufuatilia game tu
 
Makonda kafanya misteki sana, pombe, pombe, pombe. Na ictoshe jezi zao zina picha ya msalaba!!!!!!!!! Naombea watolewe kwenye hatua ya makundi. Awana jipya
 
Makonda kafanya misteki sana, pombe, pombe, pombe. Na ictoshe jezi zao zina picha ya msalaba!!!!!!!!! Naombea watolewe kwenye hatua ya makundi. Awana jipya
Watolewe kwa sababu ya pombe?
Watu wanavuta bangi na wanachukua ubingwa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…