OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Wadau kula zile gesti za kilokole kwamba hawaruhusu kuvuta demu kama sio mke wako. Mara ya kwanza nilikutana na tangazo zito kwamba bila cheti cha ndoa huingii na mwanamke. Nikaitosaga ile lodge kwa sababu kulikuwa nilipanga kumchakata mrembo mmoja hivi.
Lakini baadae nikawa najiuliza ina maana mtu asafiri na cheti cha ndoa? Hata nikisafiri na cheti watajuaje kama Howt Lady (ni mfano tu) ndiyo huyo wa kwenye cheti?
Ikabidi nikamfanyie usaili yule mhudumu kutaka kujua wanazingatiaje yote hayo. Akaniambia ule ni mkwara mbuzi tu. Hatuna muda huo, cha msingi tu sio kila siku unaleta mixer ya mademu.
If you dont know now know. Maana kuna majamaa wanachukua lodge kama hiyo halafu wakipata ishu wanahamia lodge yenye masharti nafuu.
Ni hayo tu.