Zile Kambi za Dubai, Egypt na Sudan kumbe zilikuwa ni kwa ajili ya nusu fainali ya ASFC

mwarabu feki

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2023
Posts
811
Reaction score
1,811
Ukistaajabu ya Musa basi utayaona ya firauni...
Kuna timu mojawapo hapa nchini Huwa inaanza msimu Kwa mikwara mingi sana ila mwishoni mwa msimu huwa inaangukia pua vibaya sana[emoji23][emoji23][emoji23]

Wakati wa maandalizi ya kuanza msimu huu tuliwasikia wameenda kuweka Kambi Misri.
Mara hatujakaa sawa tukawasikia wameenda Sudan kuweka Kambi na kucheza mechi za kirafiki na timu vigogo barani Afrika
Hatujakaa sawa katikati ya Msimu hao tukawasikia wameenda Dubai kuweka kambi
Mara tukawasikia wamecheza mechi za kirafiki na timu zinazoshiriki UEFA champions league...

Sasa kumbe haya maandalizi yote yalikuwa ni kuja kucheza nusu fainali ya Azam Confedaration Cup[emoji23][emoji23][emoji23]

Hata hivyo wamejitahidi kutetea kombe lao la robo fainali na wamefanikiwa pia kuondoka na kombe jipya la kufa kiume[emoji23]

Uzi tayari.....[emoji382][emoji382][emoji375][emoji375]
 
Semi final mcheze nyie na bado muwashwe nyie 😂😂😂
Pambaneni na semi final yenu ya kombe la looser bhana, labda mshinde ila mkifungwa tunalingana points na hela tumewazidi na hadhi pia bado iko juu!!!!
This is 🦁
 
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana nashindwa hata kujua naanzaje kukusaidia.
 
Nyamaza kimbulu we, unafikiri ligi ya mabingwa unaifananisha na ligi ya looser ( waliofeli) Kule ni wanaume tupu, sio mnakutana na mazembe alienyeshewa mvua mnakuja kushindana na wanume, unapo iongelea Simba uwe na adabu mjinga mmoja we.
 
Aahhaaaaaa
 
cjui wapelekwe mbinguni yaani,ndo maana kabachori analalamika hii timu ni hasara
 
Nyamaza kimbulu we, unafikiri ligi ya mabingwa unaifananisha na ligi ya looser ( waliofeli) Kule ni wanaume tupu, sio mnakutana na mazembe alienyeshewa mvua mnakuja kushindana na wanume, unapo iongelea Simba uwe na adabu mjinga mmoja we.
Hata huku kwa waliofeli mlifeli pia
 
Kuna mbumbu mmoja akasema ile hela ya kutoka Makundi kwenda robo fainali wanapewa wale tu walioshindwa kufuzu kuingia nusu fainali kwahiyo yanga ile Tsh.million 800 hapewi wanapewa hii 1b.yakuingia nusu. Nikaishia kuguna nikasema kweli Kanjibai anayohaki yakuwaburuza mambumbu

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…