Zile kelele za Usajili wa Miquissone hazipo tena

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Huyu jamaa alisajiliwa kwa kelele nyingi sana plus vifijo na nderemo, hoja yao kubwa ni kwamba yanga wanamtaka basi bila kufanya scouting wenzetu wakajibebea chapu.

Ila jinsi muda unavyosonga zile kelele zao zinapungua polepole na leo hii tunawasikia wachezaji wengine kabisa ambao hawakuimbwa ila miguu yao inawafanya waimbwe na mashabiki wao njoo pale Yanga kuna Max na Pacome hawa jamaa walikua kwa promo ndogo sana ila leo wapenzi wote wenye mapenzi na soka letu wanatamani sana kuwaona hawa mafundi wanatamani yanga iwe inacheza kila siku.

Njoo kwa Ngoma naye aliimbwa sana ila mpaka sasa kwa jicho langu la kiufundi bado hajatoa mchango wowote pale Simba tofauti ya ngoma na Miquisone dhidi ya wachezaji kama Max na Pacome ni hii Ngoma na Miquisone washapata kila kitu kwenye soka wamekuja kula mafao tu ila Max na Pacome bado wanakiu kama sio njaa ya mafanikio zaidi bado wanahitaji mafaniko katika maisha yao ya mpira.

Ukiwauliza mashabiki wa Simba watakwambia tunawasaubiri wapunguze kilo kwani Miquisone alikuja na makilo 99.

Ni wakati sasa wa timu zetu kuwa na watu wa scouting ili kuepuka haya.
 
mechi ya jana umeangalia?unajua luis anacheza namba ngapi?
 
Reactions: BRN
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…