Zile pikipiki zilizopo kwenye vituo vya polisi ziwepo na ukomo wa kukaa

Zile pikipiki zilizopo kwenye vituo vya polisi ziwepo na ukomo wa kukaa

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Leo nilikuwa nakimbizana na wapendwa kadhaa kuwasaidia baadhi ya vituon waliivyopelekwa

Ktkt pita pita Yangu nimeona vituon vimejaaza pikipik mpaka unashangaa

Na zingine zinaozea vituoniiii

TUNAOMBA tu kama USHAURI hixipikpik pale OFISIN hazileti picha nzuri

LA kufanya muwe na mda kadhaa ikitokea HAJAPOKEA mwenyewe

Tukazigawe kwa jumuiya zinazolea jamii kama YATIMA wazee nk na HATA baadhi ya hospt mdk wanazikimbia sababu n mbali na usafiri hakuna

Mkazigawe huko na Mungu alie hai akawabariki na kuwajazia Neema zake

Ukweli mkuu yoyote akifika pale hazileti picha nzuri kabisa

Mungu awabariki
 
Askari wa kike wanawapa waume zao tu watembelee mtaan uku wametoa plate number..na askari wakiumee wenye vyeo uku kwetu wamezimiliki kibao tu vijana wanaolisha mifugo Yao wanabebea nazo majani na pumba za ng'ombe na maishà fresh tu..
 
  • Thanks
Reactions: K11
Mbona huwa zinapigwa mnada? Au huko hakuna mida, maana huku kwetu tunazinunua bei poa sana kwenye minada ya police.
 
Back
Top Bottom